MOSHI KAMA MBELE MEDIA

MOSHI KAMA MBELE MEDIA

Share

BURUDANI | ELIMU | FURSA | MAISHA

11/06/2026

😂 😂😂🙌

09/06/2026

Nightoflovers🙌 |usikuwapenzi

Swali ... Je mapenzi ni kujigijiana ama kupeana fedha ??? 🙌😂

Host | co - host

Still behind the scenes ...

06/06/2026

🚫 Maudhui haya hayana nia ya kupotosha jamii. Lengo lake ni kutoa elimu na kuongeza uelewa kwa watu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea.

Segment hii itajadili masuala ya mahusiano, maisha ya wapenzi, pamoja na matukio ya nyuma ya pazia (behind the scenes). Jiandaeni kwa vipindi vyenye mafunzo, mijadala na ufahamu zaidi kuhusu mada hizi.

Night of loves (usiku wa wapenzi).

IKUMBUKWE STUDIO KULIKUA NA WATU WENGI 😂😂😂

04/06/2026

🚫📢

27/02/2026

Chriss _ mtembezi akiwa eleza namna vijana wanapaswa kuchukua hatua mara baada ya kupata elimu

Photos from MOSHI K**A MBELE MEDIA's post 20/02/2026

Kumbukumbu la Torati 28:13
Bwana atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini; utakapoyasikiza maagizo ya Bwana, Mungu wako, nikuagizayo hivi leo, kuyaangalia na kufanya;

TUPO TAYARI KUKUPA YALE TULIYO KUANDALIA 💬🎙

16/01/2026

STORY NAMBA MOJA TUTAPIGA NA THE LIONESS

💬MUZIKI MBALI YA KUWA BURUDANI UNA NAFASI GANI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU KWA VIJANA 💭

🗯LETTALKSHOW

MOSHI K**A MBELE MEDIA

Photos from MOSHI K**A MBELE MEDIA's post 18/12/2025

Unajua night walk ni nini? Umewahi kujaribu? K**a bado, basi ngoja nikuadithie kidogo.

Night walk ni matembezi ya usiku, mara nyingi kuanzia saa moja hadi saa nne, yakitegemea mazingira. Wakati mwingine hufanyika katika maeneo tulivu kabisa, na wakati mwingine katikati ya purukushani—stendi zikiwa zimejaa watu wakipambana kurejea majumbani, kelele za magari, vicheko, mijadala… wewe unatembea ukiwa mtazamaji, ukifurahia maisha yanavyoendelea mbele yako.

Kwa maeneo tulivu, night walk huwa ni tiba ya akili. Ni muda wa kupumzisha kichwa, kupunguza msongo wa mawazo, na kutafakari siku nzima iliyopita. Wengine hufanya kila siku, wengine mara chache—labda mara moja kwa mwezi. Mara nyingi hufanyika maeneo ya fukwe katika mikoa ya pwani, na kwa maeneo yasiyo na beach, hufanyika kwenye barabara tulivu zilizojaa upepo wa usiku na ukimya mtamu.

Mimi binafsi nime-observe mengi. Kuanzia vyakula visivyo rasmi lakini vyenye utamu wa kipekee:
vichwa vya kuku, miguu ya kuku ya firigisi, utumbo, mihogo, viazi vitamu, na ndizi k**a main core — vyote kwa bei nafuu sana. Experience hii imenifungua macho kuona kuwa hata masalia bado yana soko, bado yana thamani, na bado yanabeba ladha isiyoelezeka.

Kwa kweli, tembea usiku uone mengi. Night walk si matembezi tu, ni somo la maisha.

💬Chriss _ mtembezi

Want your business to be the top-listed Media Company in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

Moshi