MAIKI YA JOLEE
kuwafikia jamii zote nakutatua changamoto zao kupitia maiki ya Jolee
26/01/2026
MAIKI YA JOLEE tulipokea ujumbe kutoka kwa huyo dada k**a unavyosema apo. Na sisi k**a taasisi yakushughulikia haki zawatoto basi tulifatilia tujue muafaka wahabari hizi nakupata picha yamuhusika akiwa namtoto. Tayari kunamdhamini kashatuahidi kumlipia uyo mwanamke gharama anazodaiwa ili atoke hospital. Baada yaani tutawajulisha kitachoendelea
MAIKI YA JOLEE ushawahi kugawana kidogo ulichonacho nacho namaskini? Karibu tuchume baraka zabwana. October yaukombozi kupitia baraka tutazovuna kwawatoto hawa. Karibu katika project yetu ya October ushiriki nasi kwachochote kuwafikia zaidi watoto hawa kwani uhitaji nimkubwa
Kutoka 20:12 umiliki katika maandiko tunauombea lakini tutaupata kupitia sadaka, malimbuko, zaka zetu. Tuwajali yatima
Nitext 0623816135 wats up au nipigie
MAIKI YA JOLEE ๐
Project yetu mpya nimlangoni kwako. Karibu uungane nasisi tuweze kuwafikia watoto hawa
Nitext ways up 0623916135 au piga
bado tunakukaribisha katika project yetu yamwisho kuelekea kufunga mwaka huu 2025 . Inayoitwa mlangoni kwako. Tutapita kwawatoto wahitaji nakurejesha tabasamu. Ukiitaji kushiriki kwachochote nicheck wats up 0623816135
Zaburi 23 ikatembee nakuwafaraja pale utapoguswa nakikombe chako kifurike
MAIKI YA JOLEE ๐
Ungana nasi katikaproject yetu mpya ya mlangoni kwako tushirikiane kurejesha tabasamu lawatoto hawa zaidi nazaidi. Ukiitaji. Kuwa mojawapo au kushiriki nitext wats up 0623816135
Esta 2:15
Tunapata vibali vyaheri kupitia amani tunayoitengeneza kwawengine. Jiombee kibali kwahuduma hii naufanikiwe
MAIKI YA JOLEE inazidi kupaza sauti katika haki zamtoto. Karibu kwenye project yetu mpya ya mlangoni kwako tutayoifanya October hii kurejesha tabasamu kwawatoto hawa. Ukiitaji kushiriki nasi wats up 0623816135 kwa maelezo zaidi
Isaya 49:25 ๐
MAIKI YA JOLEE inawatangazia project mpya itayoanza October yakurejesha tabasamu kwawatoto hawa inaenda kwajina la mlangoni kwako ๐โโ๏ธkupitia viumbe hawa wanaopitia ktk mazingira magumu. Ukiitaji kua mmoja wakupokea neema hii. Karibu wats up ushirikiane nasi. Muongozo wote tutatoa huko ๐
Luka 11 :1
K**a katika isaya 66 alituahidi kufurika kwamibaraka yetu, basi amini ipo ck watoto hawa kupitia MAIKI YA JOLEE watarejeshewa tabasamu lao ๐karibu tuungane katika project zetu zamaiki yajolee zinazoanza October hii ktk kuhakikisha tabasamu laviumbe hawa linarejelea. Wats up 0623816135 kwa maelezo zaidi
MAIKI YA JOLEE ๐
Je ushawahi kufanyika baraka ktk familia hizi
Karibu 0623816135 tunafungua group wats up ambalo tutafanya project kwamwaka mara tatu. Ukihitaji kujoin tunakukaribisha uwe sehemu yakurejesha tabasamu lahawa viumbe.
Maelezo zaidi tutaelekezana wats up
MAIKI YA JOLEE tumepokea taarifa hizi kwamasikitiko makubwa mno. Kijana anaeonekana kwa clip akipigwa mpk kufa nawanawake kisa ameiba parachichi. Kijana niyatima hana wazazi naanawadogo zake anaowalea lkn niwaapo mtaani wanamuona anavyoangaikaga kuombaomba chakula nakuokota majalalani ili kulisha wadogo zake lkn Leo hii kaiba parachichi akawape wadogo zake wale akapigwa nawanawake hao waliokuwa wakipokezana kumpiga nakumchoma moto mpk kufa. Nimejaribu kufatilia wanawake hao washak**atwa ila kwa sababu mmenitag Sana kule basi kesi hii tutaifanyia ufatilizi mpk siku yahukumu yake nitakua niki post update hapa kwaa page ya taasisi yetu ya
Endelea kutu follow mirejesho ya kesi hii nitakua nikiipost hapa
Kiukweli jiombee ulee wanao mpk watakapoweza kujitegemea ๐duniani humu wapo wanawake wenzako lkn hawatoweza kumpa hata maji ya kunywa mwanao akishikwa nakiu pindi ukiwa kaburini, Wanawake wa iringa wengi wenu ndivyo mlivyo mnaroho zakikatili Sana๐๐ซmjiombe aiseee, sura zaupole mno Ila matendo yenu yanatisha k**a nini ๐
Hello wapendwa wa Chanel hii ya MAIKI YA JOLEE project yetu niliowaahidi yakusaidia vijana hawa kutoka secondary ya hai day ambao pia wanakipaji champira lkn hawana uniform ,mpira umechakaa, wala viatu vyamichezo, tunaenda kuikamilisha jumahili. Vijana hawa walifika ofisini Mara nyingi kunitafuta lkn kutoka na namajukumu yngu kua mengi tulikua tunapishana hatuonana. Hatimae Jana walimtafuta mwandishi wahabari nakumuomba awaunganishe namimi direct nawalifanikiwa. Namshukuru Mungu wakati wa Mungu umetimia naona Lilikua niswala La muda tu Jana nilifika eneo Lao wanalochezaga mpira nikaiona hali halisi vijana kweli wanavipaji vikubwa lkn vifaa hawana nainawapelekea kukosa confidence hata wakienda game ktk mashindano na wenzao,basi Mimi nimewaahidi next week nitaenda kuwanunulia baadhi ya vitu ili watimize ndoto zao ๐
Lkn bado watoto hawa wanauhitaji mkubwa Sisi k**a wazazi tuwawezeshe katika kufikia ndoto zao kwamfano wanaendaga Mara Kwamara mikoani kucheza mpira hivyo ukijisikia kuungana namini ktk kuwasupport katika mfuko wetu wakuiinua jamii . Wanaitaji chakula wakienda kambini kila weekend, wa naitaji first aid lile sanduku lamatibabu, Wa naitaji pesa zausafri wakienda kwenye mashindano kwa iyo maiki ya jolee tutatimiza vichache kulingana na mfuko wetu bado ndoto lkn Karibu kwanamba hizo k**a ukiguswa kuwainua watoto hawa wasijekua street children wakati nguvu yabuku inaweza kuwavusha apo walipo ๐๐
0623816135
ya jolee
Moshi bomangombe
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Moshi
1168PASUAMOSHI