Usafi chap chap
Tunafanya usafi wa majumbani na maofisini kwa gharama nafuu
Pia tunafanya huduma ya "nitume popote"
31/01/2023
Bidhaa zetu za usafi ni za viwango vya Hali ya juu
Usitie Shaka na usafi wa nyumba yako
Niite nitakuja Mimi na timu yangu
30/01/2023
Je wewe ni mfanyakazi?
Na unakosa muda wa kufanya usafi kwenye nyumba yako??
Basi umepata suluhu tuite chap tupendezeshe nyumba yako kwa gharama nafuuUsafi chap chap ndio suluhisho
Want your business to be the top-listed Business in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Wa. Me/255715566256
Moshi
Moshi