JCP
JCP Online TV kwajili ya michezo, habari za kijamii, exclusive, Maisha, comedy, NK.
23/03/2026
🚨 DUKA LA DAWA LINOUZWA – MOROGORO MJINI 🚨
Tunauza duka la dawa lililopo Morogoro Mjini – Maeneo ya Mafisa (karibu na shule). Duka linaendelea kufanya kazi na lina vifaa muhimu vya kuendesha biashara.
✔ Eneo zuri na salama kwa biashara
✔ Rahisi kufikika kwa wateja
✔ Fursa nzuri kwa anayetaka kuanza au kuendeleza biashara ya dawa
Tunauza kutokana na sababu binafsi za kifamilia.
💰 Bei: Inajadiliwa (maelewano yapo)
📞 Wasiliana nasi: [ 0799588381 ]
Karibu sana kwa mawasiliano – usikose nafasi hii!
TIMU NDOGO IKITOA SARE NA TIMU KUBWA NILAZIMA IFURAHIE, NI K**A DODOMA JIJI WALIVYO FURAHIA KUTOA SARE 🤣🤣
25/02/2026
SIMBA, SIMBA, SIMBA, NIME KUITA MARA 3🥺
WEWE UNAE SEMA UMEMPA MO MASAA 72 AONDOKE SIMBA, WEWE K**A NANI, UNAMAMLAKA GANI PALE SIMBA, KUNA ASILIMIA YOYOTE UMEWEKEZA PALE?
03/02/2026
TAARIFA KWA UMMA
20/01/2026
MMMH 🤔🤔
🔴 TANGAZO: DUKA LA DAWA LINAUZWA
Ninauza duka la dawa lililopo Morogoro, Mafisa Shule. Duka lipo katika eneo zuri lenye watu wengi sana na wateja wa uhakika.
Linauzwa kwa bei nzuri na ya makubaliano.
📞 Kwa mawasiliano: 0628 591 151
Karibu sana kwa mwenye uhitaji! ゚viralシfypシ゚viralシ
29/11/2025
🔴 TANGAZO: DUKA LA DAWA LINAUZWA
Ninauza duka la dawa lililopo Morogoro, Mafisa Shule. Duka lipo katika eneo zuri lenye watu wengi sana na wateja wa uhakika.
Linauzwa kwa bei nzuri na ya makubaliano.
📞 Kwa mawasiliano: 0628 591 151
Karibu sana kwa mwenye uhitaji! ゚viralシfypシ゚viralシ
MWANAMKE MWENYE MTOTO SIO KABISA, HAFAI KUOLEWA !!!😥
07/10/2025
Ikiwa kweli Kapteni Tesha si mwanajeshi, basi tuambiwe wazi — nyaraka alizonazo za kijeshi, mavazi ya serikali (kombati), na vyeo alivyovaa amevipata wapi?
Mtu wa kiraia hawezi kumiliki nyaraka za serikali zenye nembo na hadhi ya kijeshi bila mamlaka maalum. Kwa namna alivyojitambulisha, alivyojieleza na jinsi alivyojipambanua kwa sare na nyaraka rasmi, ni wazi Kapteni Tesha ni mwanajeshi halisi anayetetea nchi na raia wake.
Wanaosema si mwanajeshi watoe ushahidi rasmi wa kukanusha, vinginevyo wanajenga taswira potofu kwamba Jeshi la Tanzania ni dhaifu na halina ulinzi wa nyaraka zake — jambo ambalo si kweli.
Jeshi letu ni imara, lenye nidhamu, na linafuata taratibu. Tusiruhusu maneno ya mitandaoni kudharau heshima ya majeshi yetu.
🇹🇿 Heshima kwa jeshi letu – Kapteni Tesha ni askari halisi!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
MENCE