H-Kib ICT Solution
H-Kib ICT Solution β Tunaongoza mustakabali wa teknolojia.
Hatusaidii tu kutengeneza kompyuta, tunaunda mifumo bunifu na automation smart inayokufanyia kazi hata ukiwa mbali.
Sometimes big results need bigger sacrifices.
Comfort can wait. The vision canβt. π
When I trying to fix my error code ππ
16/12/2025
πππ
Arduino Smart Door System β opens or closes automatically when smoke is detected
09/11/2025
From dead drives to digital life again H-Kib Tech Lab, We Make It Happen π‘
Innovation starts with smart ICT Solutions!
Ni tatizo gani linakukwaza sana kwenye kompyuta yako?
09/07/2025
π‘ Sababu 3 kwanini kompyuta yako inaweza kuwa slow:
1. Programu nyingi zinazofunguka kwa wakati mmoja.
2. Hard disk imejaa au ni ya zamani sana (HDD badala ya SSD).
3. Virusi na mfumo wa Windows kuwa outdated.
β³ Endelea kutufuata kwa tips zaidi kila Siku!
π¬ Unaweza pia kuuliza swali lolote la ICT kwenye comment β nitakujibu bila malipo.
08/07/2025
Karibu kwenye group jipya la kujifunza ICT kwa vitendo β bure kabisa!
Unataka kujua:
β
Jinsi ya kutengeneza CV kwa simu
β
Kutuma email ya kikazi
β
Kutumia Google Forms na Ms Office?
β
Matengenezo ya kompyuta (Hardware & Software)
β
Matumizi sahihi ya Kompyuta n.k
π Jiunge hapa: [https://chat.whatsapp.com/LEmy83U3ziqLatkoOcRdgG?mode=ac_c]
07/07/2025
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Mbeya