ASSET INVESTMENT COMPANY LIMITED
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ASSET INVESTMENT COMPANY LIMITED, ISYESYE, Mbeya.
02/12/2025
Karibu tujenge uchumi wa nchi yetu, hatuna nchi nyingine
23/05/2023
Tunategemea Kuanza kununua Viwanja, Nyumba kujenga, kukarabati na kupangisha na kuuza nyumba zizojengwa kisasa kwa gharama inayoendana maisha halisi ya mtanzania. Tunashughulikia taratibu na vibali vinavyohusika.
Tunauza Mashamba ya kokoa kuanzia heka hadi heka kumi
ASSET INVESTMENT COMPANY LTD NI kampuni ya kizalendo inajihisisha na ununuzi na uzaji wa Kokoa, Mpunga Mahindi na inatafuta wabia pande Zote za Dunia
Wanao hitaji mashamba ya kakao wawasiliane Nami kuanzia heka hadi heka kumi na kuendelea
Wanaohitaji mashamba ya kakao wawasiliane Nami kuanzia heka hadi heka kumi na kuendelea yapo Kadri ya uhitaji wako
05/09/2018
Hii ni Kampuni ya kitanzania inajishughulisha na mambo mbali mbali makao makuu yalikuwa Sumbwanga kwa Sasa yamehamishiwa jijini Mby Kata ya Isyesye nyuma ya nanenane
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya