Bi Aisha Foundition
(BIAF) Dhumuni la taasisi ya BI AISHA FOUNDATION ni Kuwasaidia Watoto kupata Mahitaji Yao Ya Msingi pamoja Na Jamii Yenye Mahitaji .
Tupo MBEYA Mtaa wa soweto eneo la mama John jirani na hotel ya MKULU .
19/01/2025
Bi aisha foundition kila mkono nimuhimu kila moyo unathamani yake
19/01/2025
Bi aisha foundition furaha yetu ni kuona tabasamu la watoto
Tunakushukuru Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania 🇹🇿 Dr . Samia suluhu hassan kwa chakula hiki Allah akubariki sana
Click here to claim your Sponsored Listing.