Jack Anangisye
16/09/2021
Nimerejesha page yangu ndugu zangu naombeni share kwa wadadu Ili tuwe sawa Katika show zangu
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1091141491672409&id=501786190607945
13/09/2021
Mara Baada ya Account yangu ya mwanzo kupata shida kidogo Ndugu zangu nimefanikiwa Kurejesha page yangu naomba share kwa ndugu na jamaa Gonga Like hapa Ili upate Update Kila Dakika
https://www.facebook.com/501786190607945/posts/1089418801844678/
21/08/2021
Nambie chochote ambacho ni msingi mzuri Katika Kazi yangu
21/09/2020
Bigstarfm redio 106.5 Mhz leo hii
Kuanzia SAA 11:00 Usiku Mpaka 🐓
Nani anajua kuimba nani anajua kubembeleza hapa weka Comment yako shera post na Wadau please.
Cassim Mganga NA Q Chief
Awena NA Ungeniumiza
18/07/2020
Team Bigstarfm Redio 106.5 MHz Tuna watakiwa Weekend Njema jamani
Click here to claim your Sponsored Listing.