DGMI TV
DGMI tv
18/01/2026
https://youtu.be/Ch4LJ6yHehQ?si=bEzKpL0aQwdk6lFe
Mwaka wa utawala | Apostle Kelvin Lwando Dgmi Church ⛪️. Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.
15/07/2025
Ebr. 4:12
Biblia inasema neno la Mungu lina nguvu. Ebr. 4:12, “Maana neno la Mungu li hai tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.”
15/07/2025
Waebrania 4:12-13 Neno la Mungu ni hai na lina nguvu; …
Neno hilo huchambua nia na fikira za mioyo ya watu. Hakuna kiumbe chochote kilichofichika mbele ya Mungu; kila kitu kimefunuliwa wazi mbele ya macho yake yeye ambaye kwake tutapaswa kutoa hoja ya matendo yetu.
Dakika 5 za NGUVU ZA KUIOMBEA NCHI YA TANZANIA
Zike shangwe ndio hizi sasa 🕺🕺 nikufurahi tu na Mungu
https://youtu.be/CuYDmmzMEsE
10/03/2025
Zaburi 31:24 - " Iweni hodari, na moyo wenu uwe hodari, ninyi nyote mnaomngojea Bwana." Isaya 41:10 - "Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu."
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mbeya
53121