Jr Sports Tz

Jr Sports Tz

Share

Home of Sports

09/03/2024

Nini kimemkuta Konde boy jamani?

09/03/2024

Mnyama huwa hajuruhiwi mara mbili.

Simba wanarudi kwenye mbio za ubingwa sasa ni maombi yanga apoteze mechi tatu tubebe ubingwa.

Mechi ya kwanza Yanga atapoteza dhidi ya Simba, ya pili dhidi ya Azam, ya tatu atafungwa na Ihefu, Mnyama anashinda mechi zote 13 anabeba ubingwa.

( in the voice of kolo aliyelewa)

09/03/2024

WANASIMBA mnasemaje?

09/03/2024

anasema hakuna golikipa anayemfikia Manula pale Simba.

Mnakubali au Hamtaki?

09/03/2024

Post iliyopita naona mmenishambulia sana kuhusu takwimu za Stephane Aziz Ki na Feisal.

Naona mnanitumia Screenshot za post ya ndugu zangu kila mwandishi ana source zake za kupata taarifa anazoamini yeye zipo sahihi, mimi natumia App ya .io k**a zimekosewa basi wamekosea wao.

Kwa mujibu wa hii App ya Liveball Takwimu za Aziz Ki na Feisal ni k**a Ifuatavyo

Aziz Ki πŸ‡§πŸ‡«

🏟 Mechi 14
⏰ Dakika 1041
⚽️ Goli 11
🎯 Assists 3

Goal Contributions 14 in 14 games

Feisal Salum πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

🏟 Mechi 20
⏰ Dakika 1688
⚽️ Goli 12
🎯 Assists 5

Goal Contributions 17 in 20 games

NIONESHENI SOURCE ZENU NDUGU ZANGU.

09/03/2024

Aziz Ki πŸ‡§πŸ‡«

🏟Mechi 14
⏰ Dakika 1041
⚽️Goli 11
🎯Assists 3

Goal Contributions 14 in 14 Games (1.33 Goal or Assist per match)

Feisal Salum πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

🏟 Mechi 20
⏰ Dakika 1688
⚽️ Goli 12
🎯 Assists 5

Goal Contributions 17 in 20 games (0.8 Goal or Assists per match)

[ .io ]

09/03/2024

RATIBA YA MECHI ZA LEO LIGI KUU
MTIBWA SUGAR πŸ†šοΈ TZ PRISONS
⏰ 16:00
🏟 Manungu Stadium
COASTAL UNION πŸ†šοΈ SIMBA SC
⏰ 18:00
🏟 Mkwakwani Stadium
DODOMA JIJI πŸ†šοΈ GEITA GOLD
⏰ 20:15
🏟 Jamhuri Stadium
Ligi kuu itaendelea leo kwa michezo mitatu kupigwa, mechi itayotazamwa zaidi ni kati ya dhidi ya Mnyama huwa hajeruhiwi mara mbili, Baada ya Simba kupoteza points zote tatu pale Morogoro bila shaka leo wana hasira ya ushindi ili kurejesha matumaini ya ubingwa.
Je ni kweli mnyama huwa ajeruhiwi mara mbili? Tusubili baadae.

08/03/2024

WANANCHI anasema muache uchawi.

08/03/2024

Tuanze hesabu za ubingwa au bado mapema?

Yanga wamebakiwa na mechi 13 wakishinda 10 wanabeba ubingwa.

Ili Simba wamzuie Yanga kubeba ubingwa inataikwa washinde mechi zote zilizobaki (14) huku wakimuombea Yanga apoteze mechi 4.

Katika mechi 14 ambazo Simba anatakiwa ashinde zote mbili ni dhidi ya Yanga na Azam.

08/03/2024

WANANCHI nini kifanyike kipindi cha pili ..!!πŸ‘‡

08/03/2024

WANANCHI mnasemaje?

08/03/2024

Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ itamkosa kiungo wake Khalid Aucho πŸ‡ΊπŸ‡¬ kwa muda mrefu kutokana na majeraha yanayomkabili.

❌ Ataikosa robo fainali ya CAF CL na Kwa mujibu wa chanzo changu, anaweza kuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi kadhaa.

[ ]

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Kandete
Mbeya