Najm beh og

Najm beh og

Share

KIDEM JAU ❤️🇹🇿
Actress from tanzania
Signed Under chado masta

10/01/2026

Unapenda kumuita jina gani 😃
Kidemu jau
Kichwanjicho
au najma

10/01/2026

Hebu tuone simu yako k**a iko na kuku 🐓

15/09/2025

LEO MWENDO WA VITU VIKALI TU

BEI FULL
NA DJ MACK
•••
Whatsapp tucheki👉0624984466

14/09/2025

Inawezekana ikawa ndio Movie yenye ukatili zaidi duniani..mzigo umetoka mwaka 1980 huko nchini ITALIA..baada ya kutoka kulizuka sintofahamu kutokana na kusheheni kwa matukio ya kutisha na ya kikatili katika historia ya sinema Ulimwenguni na kuaminika kwamba ni matukio halisi...

Baada ya movie hii kutoka Kuna baadhi ya mambo yaliyotokea:
kwanza kabisa Movie hii ilifungiwa mara baada ya kuachiwa...Filamu hii ilipigwa marufuku nchini ITALIA muda mfupi baada ya kutoka na kuwekwa kwenye orodha ya filamu zenye ukatili uliokithiri katika nchi nyingi za Ulaya...

Aliyeongoza filamu hii alik**atwa na kufikishwa mahak**ani kwa tuhuma za mauwaji ya waigizaji...kuuwa Soo ikabidi awalete waigizaji mahak**ani kuthibitisha kwamba wako hai... hivyo kesi ya mauaji ilifutwa...

Ukosoaji mkubwa juu ya ukatili...
Watu wengi walichukizwa zaidi na uhalisia wa mauwaji dhidi wanyama yaliyoonyeshwa kwenye filamu...

Miongoni mwa movie wanayoweza kutazamwa watu 10 kati ya 100 mzigo tunao Whatsapp na telegram 0624984466.. iliyo tafsiriwa pia tunayo Bei sh 1500..

Photos from Najm beh og's post 09/09/2025

Habari zenu

01/09/2025

Kwa Habari ya movie na series za Ommy_D hapa ndio nyumbani kwake

Leo tuna hii series yenye mchanganyiko wa Sci-fi na intelligence.. yaani upelelezi kwa msaada wa Science and technology.

Ni series (season two complete)
Season 01 Ep 9
Season 02 Ep 9
Jumla ep 18
Kila ep dk 60
•••
Full wacheki Whatsapp 👉0628754466

01/09/2025

Ukipewa nafasi ya Kumshauri ..,Utamshauri nini😊

29/08/2025

Habari zenu wapendwa

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Mbeya