scottytravess
scotty travess, muongozaji na msanii wa filamu za kitanzania toka nyanda za juu kusini Mbeya,Tanzani
Scotty travess, mimi ni msanii, mwandishi na mwongozaji wa filamu za aina zote, ni mzawa na mkazi mbeya mjini..sanaa ya uandishi nilianza kuifanya mnamo mwaka 2015 nikiwa mwandishi wa simulizi na hadithi za majarida, mnamo mwaka 2017 niliandika simulizi iliyo kuwa na vitu vingi vyenye kuvutia ndani yake na kila aliye isoma story ile alitamani angeiona katika mfumo wa picha inayo tembea nikimaanish
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Mbeya
MABINGWACOMPANY