Brave son tz
I'm mbeya boy wisdom + discipline=well success
KAZI NI KAZI hata k**a kipato ni kidogo rizika nacho.kuliko kufanya maamuzi magumu kwa kujiingiza kufanya mambo halamu.
Siku zote jasiri hana mpaka ktk kujiokoa na kutetea wengine wawapo ktk majanga mazito.pia kufeli ktk utetezi wake sio rahisi kwani hufanikiwa kwa kishindo kikubwa.ni sawa na baba kwa mwanae wawapo msituni kupambana na wanyama hatari.hufanya juu chini kumuokoa mwanae asijeruhiwe na hao wanyama.pia nae kijana huyo huonyesha ujasiri kwa kujitetea kupitia mbio na silaha atakayo rushiwa na baba yake ili apambane na Huyo mnyama hatari na hatimaye hufanikiwa.hivyo hata maisha yana hitaji ujasiri ili mafanikio yawe bora.kwani wahenga husema " unaposhikiliwa na wewe shikilia kweli ili usiporomokee kolongoni
03/11/2019
Maisha ni safari ndefu ingawa ukomo wake inategemeana na mavuno ya matendo ya mhusika mwenyewe.k**a ametenda mema ktk safari yake peponi pamuita kwa ndelemo na vifijo.ila k**a ametenda maovu jehanamu pamngoja kwa moshi na moto mzito usio na kikomo.
01/11/2019
KAZI YANGU NDIO MAISHA YANGU AMBAYO NA MTEGEMEA MUNGU ZAIDI
14/10/2019
Watu wangu nawatakia uxiku mwema na mungu awalinde
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Mbeya
700700