Baharia TV
Baharia TV is a digital media platform that amplifies citizensβ voices through fact-based storytelling and on-the-ground reporting.
We go beyond headlines to spark informed public dialogue and promote accountability without misinformation.
Hatimaye ndoto imekuwa kweli! PSG wameandika historia back to back kwa kutwaa Kombe la Ulaya baada ya safari ndefu ya kusaka mafanikio makubwa barani Ulaya.
Mashabiki wa Paris sasa wana sababu ya kusherehekea baada ya timu yao kufika kileleni mwa soka la klabu duniani. Usiku wa furaha, historia na kumbukumbu zisizosahaulika kwa PSG. π΅π΄π
Je, huu ni mwanzo wa enzi mpya ya PSG barani Ulaya? π
Baada ya matokeo ya mwisho, mashabiki wengi wamebaki na swali moja tu...
"Vipi k**a ubingwa ungeenda Arsenal?" π
Soka lina furaha, huzuni, vicheko na majonzi. Leo wengine wanasherehekea, wengine wanatafakari kilichopotea.
Je, k**a timu ya Arsenal ingechukua ubingwa, sherehe zingekuwaje? Tuambie kwenye maoni! ππ₯β½
π PSG NI MABINGWA! π
Baada ya dakika 120 za pambano kali, Paris Saint-Germain wameonyesha utulivu na umakini mkubwa katika mikwaju ya penalti na kufanikiwa kutwaa ubingwa.
Mashujaa wa Paris wameandika historia nyingine kwa kuonyesha moyo wa kupambana hadi dakika ya mwisho na hatimaye kuibuka washindi kupitia mikwaju ya penalti.
Hongera PSG kwa ubingwa huu mkubwa! π΅π΄π
30/05/2026
FT | Arsenal 1-1 PSG β½
Dakika 90 zimemalizika kwa sare ya nguvu! Arsenal na PSG wamegawana pointi baada ya pambano kali lililojaa ushindani, kasi na nafasi za kutengeneza ushindi.
π΄ Arsenal walionyesha uthabiti mbele ya mashabiki wao, huku π΅ PSG wakionyesha ubora wao wa kumiliki mpira na kutengeneza nafasi.
Je, matokeo haya ni haki kwa timu zote mbili? Toa maoni yako π
Mapema Hii leo Uyole jogging club yaandaa Mashindano ya kila mwezi yanayofanywa kwa kuhusisha Jogging mbali mbali jijini Mbeya.
Yakilenga kuhimiza wananchi wajenge taratibu ya kufanya mazoezi ili kuboresha Afya zao.
Kauli kali kutoka kwa Mwambigija imezua mjadala mkubwa, akionya dhidi ya hatua yoyote ya kuifuta CHADEMA na kudai kuwa hatua hiyo inaweza kuibua hasira kutoka kwa vijana wa kizazi cha Gen-Z. Je, una maoni gani kuhusu kauli hii na mustakabali wa siasa za Tanzania?
Hii hafla ya Kumkaribisha Msigwa Chadema Ndani ya Jimbo la Iringa.
Story na Mwandishi wetu
Mapema Hii leo Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi akihutubia katika Mazishi ya Mama yake na Hayati Magufuli.
Story na mwandishi wetu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mbeya
367