Kasimpya
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kasimpya, Shopping & retail, Mtaa wa bank, Mwanjelwa, Mbeya.
Tunauza vifaa vya umeme wa solar
Tunauza televisions(TV), ving'amuzi na Radio aina zote
Tunauza vifaa vya matumizi ya jikoni na nyumbani kwa ujumla
pia mafundi wa huduma zinazohusiana na bidhaa zetu wanapatikana
22/07/2025
Tumewaletea fridge na freezer za size zote kila mtu apate.
Bei kuanzia 250,000 unapata fridge.
Bidhaa zetu zote zina warrant isiyopungua mwaka mmoja.
Huduma ya usafiri ni bure kwa wateja wa Mbeya mjini na Dsm.
Tunatuma bidhaa mikoa yote kwa uaminifu kabisa.
Pia tunatoa huduma ya kukuagizia/kukununulia bidhaa yoyote ya solar au electronics utakayo kwani tunafahamu wapi utapata bidhaa bora.
Call/WhatsApp 0766 368 250
22/07/2025
Hisense Chest Freezer
H125CFs
Ujazo lita 95
Warrant mwaka mmoja
Bei 425,000
Delivery free Mbeya mjini na Dsm
Unatumiwa mkoa wowote kwa gharama ndogo sana.
21/07/2025
Pmax Fridge
Ujazo lita 90
Warrant mwaka mmoja
Unatumiwa mkoa wowote
Free delivery kwa wateja wa Mbeya na Dar
Price: 350,000/=
29/10/2023
Call/WhatsApp 0766 368 250
Kasi Mpya Solar & Electronics
Mwanjelwa Mbeya mkabala na soko la SIDO
07/04/2023
WESTPOINT GAS BURNER | Jiko la gas lenye burner 2 pia ni auto-ignition. One year warrant.
Price: Tsh. 125,000/=
Karibu dukani kwetu ujipatie vifaa bora na imara vya ELECTRONICS na Pia tunatoa ushauri wa namna nzuri ya kutumia bidhaa husika.
Delivery inafanyika pia, tupe location lipia bidhaa subiri mlangoni tutafikisha kwa uaminifu kabisa.
Tunapatikana Mwanjelwa-Mbeya mkabala na soko la SIDO
Call/WhatsApp #0766368250
07/04/2023
HOMEBASE GAS HUB | Jiko la gas lenye 4 gas burners zuri na imara. Pika vyakula vingi kwa wakati mmoja okoa muda wako kwa kutumia jiko la HOMEBASE GAS HUB kutoka dukani kwetu upate na warrant ya mwaka mzima.
Price: 225,000/=
Karibu sana ujipatie bidhaa bora za ELECTRONICS na .
Tunapatikana Mwanjelwa-Mbeya mkabala na soko la SIDO
Call/WhatsApp #0766368250
30/03/2023
BLUETOOTH SPEAKER | Radio ya kuchaji yenye uwezo mzuri. Inashika FM-radio na Bluetooth pia inaplay USB flash na SD card. Zipo za mionekano tofauti tofauti na bei ni nafuu sana kuanzia Tsh. 15,000/= tu.
Karibu sana ujipatie bidhaa bora za electronics na za solar pia.
Tunapatikana Mwanjelwa-Mbeya mkabala na soko la SIDO.
Call/WhatsApp #0766368250
Welcome to our kasi mpya electronics Instagram page for more info about our business
06/04/2021
Power adopters/power supplier/ac-dc converter
18/03/2021
Mapenzi ya Mungu yametimia, tunaumia tusingeweza kuzuia, mwendo umeumaliza jemedari wetu, tunakuombea upumzike kwa amani ππ..
Itakuaje ? Mungu ndio jibu, tumaini letu ni kwako ee Bwanaπ
03/03/2021
Bed lamps
Price: 40,000
03/03/2021
Bed lamp
Price: 75,000
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Mbeya
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 19:00 |
| Tuesday | 07:00 - 19:00 |
| Wednesday | 07:00 - 19:00 |
| Thursday | 07:00 - 19:00 |
| Friday | 07:00 - 19:00 |
| Saturday | 07:00 - 19:00 |