Tinga The best
@tinga the best
21/02/2026
π₯ kwenye ukurasa wangu rasmi
Fuata sasa kwa:
Burudani
Maisha halisi
Video kali
Maudhui mapya kila mara
π Facebook
πΈ Instagram
π΅ TikTok
βΆοΈ YouTube
Follow sasa: Tinga The best
"Usipitwe na chochote β Jiunge na familia ya Tinga The Best leo!"
02/12/2025
SHINDA VOCHA tsh2,000 KWA KUBONYEZA ARAMA YA
πππ
https://youtu.be/haVQWTp71-c?si=mCtFrqVXCGPuuyjx
Tinga Thebest Dear Ex Officiall VIDEO niwimbo uliobeba hisia za mapenzi kwa watu walio achana kuwajengea kumbu kumbu nzuri na kuondoa chuki katikati yao karibu uweze kusikiliza USISAHAU KU COMENTπ©
Tinga The best-_- Dear Ex Offciall VIDEO Tinga Thebest Dear Ex Officiall VIDEO niwimbo uliobeba hisia za mapenzi kwa watu walio achana ku...
30/09/2025
it is coming EX soon
page Tinga The best
youtube Tinga The best
Tinga the best-HANIMISS-_-(Official VIDEO)
26/06/2024
HANI-MISS
nimuda takribani miezi 6 imepita tangu nisikike masikioni mwako shabiki yangu na mdau wa music HABARI NJEMA ijumaa ya wiki hii tunangoma mpya video iitwayo HANI MISS hakikisha una SUBUSCREB ili usipitwe na ujumbe uliomo ndani ya HANI MISS
Post from Tinga the best HANI-MISS nimuda takribani miezi 6 imepita tangu nisikike masikioni mwako shabiki yangu na mdau wa music HABARI NJEMA ijumaa ya wiki hii tunangoma mpya video...
17/05/2024
mlefu umepita hatujaachia ngoma sasa wakati umewadia niambieni tuachie ngoma ya aina gani nasoma comment
16/01/2024
https://youtu.be/l-6ImMb2co8?si=T1Sy_7GJ_ROJZORS
Karibu tuka stream tusikilize mziki nimejaribu kuyaelezea mapenzi ila bado ~HAYAELEZEK!~πππ
Tinga The best Hayaelezeki Official AUDIO Tinga The best Hayaelezeki Official AUDIO
20/10/2023
Nikiwa k**a kijana napenda kusaport vijana wenzangu wenye vipaji huko mtaani sasa kwa wasaniii fulsa ni hii kipaji chako ndio ajira yako starbeat tuna kitu kinaitwa starbeat family na tunaunda family hii kwaajiri ya kusapoti vipaji vingi huko mtaani kwa msanii ambae yuko tayar piga sim no +255 766 334 925 vigezo na mashart kuzingatiwa kalbuni kwenye familia ya starbeat
27/03/2022
Pesa shetani ila zinatumika na waumini. Kanisa bila pesa haliendi. Maombi bila sadaka hayapokelewi Dah! Nachanganyikiwa mimi ivi hizi hela zinanini mbona bila zenyewe hakuna kinacho wezekana
https://youtu.be/9BGA4IBz8Js
Helloo win fansi naamini mkopowa nawapenda sana na ninawakaribisha youtube kutazama na kusikiliza Full intervw ndani ya NURU FM IRINGA Tumewasha https://youtu.be/9BGA4IBz8Js
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Mbeya
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 20:00 |
| Tuesday | 09:00 - 20:00 |
| Wednesday | 09:00 - 20:00 |
| Thursday | 09:00 - 20:00 |
| Friday | 09:00 - 20:00 |
| Saturday | 09:00 - 20:00 |
| Sunday | 10:00 - 19:00 |