FastPermit Tanzania
Tunahakikisha unapokea kibali haraka kupitia WhatsApp.
FastPermit ni wakala binafsi anayepatikana popote ulipo Tanzania, anayetoa huduma ya kukatia vibali vya Abnormal Load kutoka TANROADS (Mizigo Mikubwa/Mizito) kwa madereva na kampuni za usafirishaji.
Unasafirisha Abnormal Load? Pata Kibali cha TANROADS Popote Ulipo Tanzania, Kabla Hujafika Mizani!
FastPermit Tanzania
🚛 USIPOTEZE MUDA KWENYE MIZANI ZA TANROADS!
Unasafirisha mzigo mkubwa, mzito kupita kiasi, kemikali au mifugo?
Sasa unaweza kupata kibali cha Abnormal Load (TANROADS Permit) haraka na kwa urahisi zaidi kuliko zamani! 💨
👉🏽 Hakuna kulalamika tena mizani kukuzuia au kulazimika kurudi ofisini!
Tunashughulikia vibali vyote vya TANROADS kwa niaba yako — popote ulipo Tanzania 🇹🇿
💼 Huduma zetu ni:
✅ Vibali vya Abnormal Loads
"Mizigo mizito kupita kiwango
"Kemikali na Mifugo
✅ Ushauri Pale Unapopata changamoto yoyote ya mizani.
📲 Unachotakiwa kufanya ni kugusa link hii 👇🏽
Na utaweza kuomba kibali moja kwa moja kupitia WhatsApp!
🔗 https://watchprotanzania.systeme.io/d630b615
💸 Gharama zetu ni ndogo sana ukilinganisha na wengine, na huduma ni halali 100% chini ya mfumo wa TANROADS.
FastPermit Tanzania — Tunaokoa muda wako, tunakuondolea usumbufu barabarani.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
53101