Chap chap News
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chap chap News, Sports, Mbeya.
Mtoto mwenye Balaa Tazama Alivomgeuzageuza mtu MPAKA akakubali shoo
Tazama.Balaa La Luis Diaz Huko Bayern Munich
Tazama Kosa kubwa Alilolifanya Refarii kwa timu ya Manchester United, Kawanyima penalty Man United Kwa Kosa Lile lile Aliloyoa Kadi nyekundu na kuwapa penalty Bournemouth
Mtazame Nickson kibabage Akifunguka Kuhusu Mchezo wao wa kesho dhidi ya TRA United kwa naiaba ya wachezaji wenzake.
LAMINE YAMAL VS NEWCASTLE kaka anawapeleka sana
21/03/2026
Zifahamu NCHI zinazoongoza kuwa na Mabilionea wengi Duniani
NCHI ya kwanza hadi ya mwisho
21/03/2026
Barcelona wapindua meza Msimamo ligi Ya Mabingwa UEFA
MAAJABU: Tazama Magoli yote manne Ndani ya Dakika ishirini Bournemouth vs Man United
21/03/2026
UNAOUONAJE USAJILI HUU WA MAGUIRE
Manchester United Wameamua Kumuongeza Mkataba Beki wao Kitasa Harry Maguire.
Makubaliano yashafanyika Kaa pande zote mbili Na Harry Maguire amekubali kuongeza Mkataba ili kuendelea Kuitumikia Man United. Mkataba wasasa Utatamatika Mwezi wa sita(June) 2026. Mkataba Mpya Utatamatika June 2027 Huku kukiwa na kipengele cha kuongeza hadi June 2028
21/03/2026
Manchester United Hawajalizishwa Na Maamuzi Ya Refarii Kutokuwapa Penalty Kocha Mkuu Michael Carrick Na Bruno Fernandes timu Kapteni Wafunguka haya
Bruno Fernandes (nahodha):
"Ninajua ni vigumu kwa refa kutoa penalti mbili kwa timu moja katika mechi moja... lakini sielewi kwa nini faulo moja ni penalti na nyingine siyo. Pia, kwa nini VAR haikusahihisha uamuzi huo?"
Michael Carrick:
"Refa ametupa penalti moja kwa kushikwa kwa mikono miwili... lakini ya pili kwa Amad hakutoa. Ilikuwa karibu sawa kabisa. Kwangu mimi, ni penalti mbili katika wakati muhimu. Inashangaza... Ina changanya na Ni la ajabu."
Kocha (meneja):
"Siwezi kuelewa kabisa."
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Culinary Team
Attire
Website
Address
MBEYAMJINI