ELIMU YA FOREX

ELIMU YA FOREX

Share

Tunatoa elimu ya forex trading, crypto currency, Mentorship ,Deposit na withdraw ya akaunti za forex.

30/03/2026

Sasa inatosha ...

24/03/2026

Progress ya boom 900 .

Photos from ELIMU YA FOREX's post 24/03/2026

Three candles rule ..
Hapo hawezi kuchomoa .
Pull back zisikutishe .

Zima zote washa boom 900

18/03/2026

Kuna pesa zimejificha hapa ...
Mwenye macho haambiwi tazama

Photos from ELIMU YA FOREX's post 09/02/2026

Booooom!!

02/02/2026

Hii ndo moment tumeisubiri takribani wiki nzima ..
Patience is the key .

01/02/2026

Ndio maana tunasisitiza kujifunza zaidi kuliko kuingia sokoni bila kujua unafanya kitu gani .
Kilichoniumiza zaidi ni kuona profile pic imewekwa ya Mwalimu Nyerere 😄. Tumuache Mzee wetu apumzike. Ukitumia picha yake inabidi uwe critical thinker .

24/01/2026

Kuna jambo tunalitafuta hapa ..
Keep watching..

09/01/2026

Tumeshauanza mwaka tayari ..
Huu ni mwaka wa kazi tu .

23/11/2025

Mambo machache yanayonifanya nifrahie kufanya trading ya boom na crash pamoja na volatility Ni haya .

1.Siwazi kuhusu fundamental Analysis.
Yan Mambo ya kujua currency gani Leo ina nguvu tena na kujua kwa nini ina nguvu hayapo huku .Huku hatuna economic calendar kiufupi wala hakuna Mambo ya kufuatilia Trump Leo ame tweet nini Leo ijumaa ya mwisho wa mwezi K**a leo.Ni mwendo wa kula pips tu .

2.Boom na crash Ni moja ya indices zina obey sana Technical Analysis.
K**a wewe ni mkali wa kuchora na kucheza na chart za forex market basi huku utapiga pesa sana . Manipulation zipo chache huku .Simanishi hazipo .

3.Boom na crash hasa wale wenzangu na Mimi wa kuwinda spike tuñafanya risk management bila shida yoyote.Yaan ni wewe tu kuweka stop loss yako kulingana na analysis yako uliyofanya .Hivyo kuchoma account ni umetaka mwenyewe.
Hapa nipo kinyume na wale majemadali wanao trade small candles( yani mwamba anabuy pair ya crash na anasell pair ya Boom) Hawa watu nawavulia kofia Wana roho ya chuma.

4.Naweza kuingia sokoni na kutoka na faida kubwa kwa muda mfupi sana (High volatility).Mara nyingi Analysis zangu zinanipa signal za kuingia sokoni na kutoka kwa muda mchache sana .Trades chache sana naamua kuziacha zitembee zaidi ya masaa 24 (Siku moja).

Mwisho ...Ili uijue vizuri forex lazima uanze na demo account ya currency ndipo utafaidi Mambo mengi .Wote tulianzia huko na bado tunaendelea kula pips huko kwenye currency lakini Boom na Crash ni karanga tu za kuonjeshwa .Deriv ataamua mwenyewe atuache tuendelee kumshikilia au lah.
Comment chini hapa tuambie wewe unaendelea kumshikilia broker kwa pair ipi na kwa nini .

23/11/2025

Repost.

Akaunti nyingi za retail traders zinaungua kwa sababu ya kukosa risk management.
Hili ni somo kubwa ambalo ukiweza kulielewa na kulifanyia kazi hauwezi kuja na ngojera za kuchoma akaunti tena .
Kutumia stop loss na kuepuka over trading ni baadhi tu ya skills unahitaji kuwa nazo ili kuepukana na kupoteza pesa kwenye soko la forex.

Wewe ulishawahi kupoteza account kwa sababu ya kukosa risk management?
Tueleze ilikuwaje kwenye comment section 👇

Photos from ELIMU YA FOREX's post 21/11/2025

Matokeo .
Crash 500 ametuheshimisha na lunchtime

Hongera kwa yeyote aliyeingia na order hii

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Forest
Mbeya
53123