Sir Buyange

Sir Buyange

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sir Buyange, Mbeya.

27/07/2022

2022 tupatapo nafasi tuwakumbuke wasiojiweza na wenye maitaji

26/04/2022
03/10/2021

GENESIS ACADEMIC CENTRE.
Tunapenda kuwataarifu wazazi na walezi kuwa tunaendelea kupokea waitimu wa darasa la saba kwa ajili ya masomo ya PRE-FORM ONE , kwa masomo yafuatayo MATHEMATICS,CHEMISTRY,PHYSICS,BIOLOGY,ENGLISH,GEOGRAPHY and HISTORY. Ambayo tumeanza kufundisha kuanzia tarehe 13 september 2021,
Gharama zetu ni nafuu kabisa , FOMU ni sh 1000, ADA ni sh 13000 tu kwa miezi yote mitatu ambayo itapaswa itolewe pindi mwanafunzi anapoanza masomo. Na k**a ikikosekana pesa iyo , mwanafunz atapaswa kulipa sh 5000 kila mwezi. Pia kila jumamosi kutakuwa na mitiani miwili , ambapo kila mtiani ni sh 200. Wanafunzi 10 wenye maitaji maalumu hasa wasio na wazazi , pamoja na wale ambao wana wazaz au ndugu ila awana uwezo wa kulipia gharama ya ada , na wanaitaji kupata huduma hii ya pre-form one wafike watasoma bure kabisa.! GENESIS ACADEMIC CENTRE Tunapatikana karbu na uwanja wa airpoty wa zaman au karbu na chuo cha uhasibu (TIA)-MBEYA. Kwa mawasilian zaidi tuwasiliane kwa namba 0762518114 & 0783458568. Email: [email protected] karibu sana!!

15/11/2020

Baadhi ya wanafunzi wa certificate na Diploma mwaka wa Kwanza karibuni Sana CUCoM

12/09/2020

Kwa ngazi ya degree Usajili unaendelea, kwa wahitimu wa form six Uwe na pass mbili tu .

Karibu Sana kwa Elimu bola na maaadili mema.

Tuwasiliane zaid kwa :-
0714076896
0764622482

Karibu Sana Catholic University College of Mbeya (CUCoM)

12/09/2020

Kwa watu pia wanaoitaji kusoma diploma usajili unaendelea,

Tembelea www.cucom.ac.tz

Au tuwasiliane zaid :-
0714976896
0764622482

Hakika Catholic University College of Mbeya (CUCoM) ni sehemu Sahihi kwako kwa Elimu .

Karibu Sana.

12/09/2020

Karibu saana Catholic University College of Mbeya (CUCoM)

Usajili unaendelea kwa wale wote walio na pass kuanzia Nne kwa matokeo ya Form Four , karibu Sana kwa maombi ya nafasi kwa program kede kede kwa ajili yako.

Tuwasiliane :-
0714076896
0764622482
0768341328
Au fika chuoni Mafiat mkabala na hotel ya Tughimbe-Mbeya.

Karibu saana,

12/09/2020

Usajili unaendelea , umebaki wewe tu ,

Karibu Sana Catholic University College of Mbeya (CUCoM).

28/08/2020

Waheshimiwa , watarajiwa

Want your hotel to be the top-listed Hotel in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Culinary Team

Attire

Telephone

Website

Address

Mbeya