Dj tiger tz

Dj tiger tz

Share

AFRICAN BADDEST DJ TIGER. HABAR ZA MASTAA
Simba Fan
Man United Fan
Real Madrid Fan

✰✰✰✰✰✰

24/07/2025

DEAL DONE | SOWAH TO SIMBA

mshambuliaji hatari kutoka ghana jonathan sowah kasain mkataba wa miaka miwili simba sc mkataba huo utaanza kutumika mwezi wa nane .

sowah kachagua simba badala ya yanga hivyo huyo mchezaji atakua chini ya kocha msouth fadlu davis

25/06/2025

TUTARUDI TUKIWA IMARA

NB:KWANZA KOMBE LENYEWE BAYA

12/06/2025

JUNE 15 TUTAKUWEPO

ACHENI KUTUKIMBIA UTOPOLO 🐸🐸🐸

02/06/2025

AFRICA CLUB RANKINGS
Simba SC Tanzania

31/05/2025

Full time

Simba sc 1-3 Singida Blackstars
⚽️Ahoua. ⚽️Sowah
⚽️⚽️Kayekeh

NB;Tumeacha Mchezewenyew watoto Wa Baba mmoja Vyura Fc🐸🐸..Usisahau Tar 15 Utopolo ni sisi na Nyie

31/05/2025

🚨KIKOSI KINACHO ANZA DHIDI YA CHURA WADOGO😁

KICK OFF 3:30

26/05/2025

🚨KIKOSI BORA CHA MSIMU | CONFEDERATION CUP

Timu ya Simba Sc imetoa wachezaji nane 8 kwenye kikosi Bora afu anatokea mlevi mmoja Analalamika😂😂😂

26/05/2025

🚨BEST PASSING ACCURACY | NGOMA KINARA

Fabrice Ngoma ni kinara wa kupiga pasi Nyingi sahihi kwenye kombe La Shirikisho

26/05/2025

🚨MOST SAVES | KANARA KINARA

kwa mujibu Wa Africa Soccer Zone Gorikipa Walio fanya Save Nyingi Gorikipa Wetu Moussa Pinpin Camara 🦁 Ameongoza kwenye Kombe la Shirikisho

25/05/2025

🚨MWISHO TUMEPOTEZA NA REFA WAO

Simba sc Tumelikosa kombe msimu huu sio mbaya kwa hatua tulio piga tutaludi tukiwa imara na viongozi wanalakujifunza apa Hatuna Anatubebaa ni zaid ya maumivuu waarabu wanabebwa tu

Tusikate tamaa mwanzo mzuri Big Shout out Kwa Kocha na wachezaji 🦁🦁

25/05/2025

KADI YA PILI YA NJANO KWA KAGOMA

RED KAD KWA MAAMUZI YA REFARE

REFA MNAMUELEWA LAKN😭😭😭😭

25/05/2025

Goaaaaaaaal Simba SC inaandika Goli la Kwanza Kupitia Kwa Joshua Mutale Budo

Simba SC 1-0 RS Berkane
⚽ Mutale 16

Aggregate (1-2)

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Kyela
Mbeya