Toilet Cleaner Soap
Care your health for keeping your toilet safe and clean
08/07/2023
Bado napokea watu wanaohitaji kujifunza kutengeneza sabuni za usafi za maji.๐ฆ Uzuri ni kwamba ukishajifunza unapata double profit (faida mara mbili),yaani unauza sabuni lakini pia utakua mwalimu Kwa wengine.
Kwa 35,000/=
17/01/2023
Bado napokea watu wanahitaji kujifunza kutengeneza sabuni za usafi za maji .๐ฆUzuri ni kwamba ukisha jifunza unapata double profit(faida mara mbili),yaani unauza sabuni zako lakini pia utakua mwalimu Kwa wengine.๐
24/12/2022
Asanteee kwa mrejesho ndugu mteja๐๐ฅ
15/12/2022
Kuna mtu hakuna kitu anachojua na hataki kujifunza chochote na amelidhika ๐๐๐
15/12/2022
Feedback nzuri kutoka Kwa mteja๐
Alikuja akajifunza na tayari ameanza kazi๐
Offer! Offer!
Kwa msimu huu wa kuelekea Christmas ๐ฒ na mwaka mpya ๐Kuna punguzo la bei Kwa atakae hitaji kujifunza kutengeneza sabuni za usafi za maji atalipia 25k tu kalibu sanaaa.
24/10/2022
Quality is my priority.
Click here to claim your Sponsored Listing.