Prison and Inmates Saving Foundation
Deals with provision of services to prisoners and Inmates to all Prisons in Tanzania mainland.
15/11/2023
Tukiwa kwenye Ukumbi wa Makao makuu ya Magereza Dodoma Tukijadili juu ya Kuwawezesha Wafungwa kiuchumi Baada ya kumalizia Vifungo vyao
15/11/2023
Maofisa Magereza picha ya pamoja na Member wa PISF Tanzania ndani ya Makao makuu ya Magereza msalato
15/11/2023
PISF Tanzania Tukiwa makao makuu ya Magereza Dodoma
06/10/2023
Prison and Inmates Saving Foundation (PISF Tanzania) Ni Taasisi ambayo inajihusisha na utoaji wa huduma kwa Wafungwa na mahabusu katika Magereza yote Tanzania Bara. Huduma hizo nik**a ifuatavyo;
1)Kutoa Misaada yakibinadamu katika Magereza k**a Sabuni, Mafuta yakupaka, Nyembe, Taulo zakike, Miswaki na Dawa, Shuka na Magodolo, Sukali, n.k
2) Kutoa msaada wakisheria kwa Mahabusu ambao Hawana uwezo wakifedha wakukutana na mawakili. Kwa kumtambua kuwa Mahabusu au Wafungwa Walio wengi Magerezani Hawana uwezo kifedha hivyo hupelekea kuendelea kusota Magerezani pasipo msaada wowote.
3) Kuwafariji Wafungwa na mahabusu Magerezani kwa kufanya nao ibada za kidini.
4) Kuwawezesha kiuchumi walio maliza Vifungo vyao kwa kufanya nao shughuli tofauti tofauti za uzalishaji ili waweze kupata Mitaji wakaendelee na shughuli za ujasiliamali ili kukuza pato la Taifa letu.
5) Kuwaongezea Ujuzi Wafungwa na mahabusu waliomo magerezani, Kwa kutambua kuwa Asilimia kubwa ya wafungwa/ Mahabusu wanakuwa na talent/ vipaji vyao, Hivyo huperekea vipaji hivyo kuzolota.
6) Kuhakikisha Wafungwa wa Vifungo vya nje nao Wanawezeshwa kiuchumi pia.
02/10/2023
PISF members Ndani ya Gereza la ISISI Mbarali
01/10/2023
Taasisi ya Prison and Inmates Saving Foundation(PISF Tanzania) Inayo jihusisha na utoaji wa huduma Kwa Wafungwa na mahabusu Magereza yote Tanzania baraTukiwa katika Gereza la Mbarali Isisi tukitoa mahitaji mbali mbali Yakibinadamu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Website
Address
Mbeya