Dstar Power Tools
Power Tools Specialist, Kwa Bei za kizalendo sana, Quality nzuri na Warranty ya Mwaka 1.
Tunaaminika kwa kuuza Power Tools nzuri kwa muda mrefu, tuna repair powertools na kutoa ushauri kwa mafundi
Tupo Mabibo NIT Dar Es Salaam
Kwanini uhangaike na Gharama za Compressor na Gun?
Jipatie hii spray gun kwa 100,000/= mpya kabisa na yenye warranty ya mwaka 1.
Sifa Zake.
1. Inatumika kupiga rangi kwenye fernitures za mbao, chuma, magari na nyumba pia.
2. Powerful sana.
3. Ina mtungi wa 1L
4. Ni heavy duty na hai overheat.
5. Inatumika kwa rangi zote za maji, mafuta na tina.
6. Ina safishika kiurahisi sana.
Tupo Mabibo NIT Dar
Call/WhatsApp 0674840600.
Karibu sana.
Jipatie MAKITA Hammer Drill kwa 180,000/= Tu
1. Ina Impact function (Nyundo), Normal Drill na Tindo.
2. Ina autolight inayowaka wakati wa kazi.
3. Impact energy 3J.
4. Inakuja Fullset na Bit zake pamoja na Gauge.
5. Wire mrefu kukuwezesha kufanya kazi confortable.
6. Mpya ina warranty ya mwaka 1.
7. Ina bit namba 6,8 na 10 pamoja na bit za kutindulia.
8. Inakuja na Brifcase na Toolbox yake ikiwa na vifaa muhimu vya kiufundi.
Tupo Mabibo NIT Dar
0674840600
0674840600
Milwaukee ARC 950 kwa 180,000/=
Portable Dstar Welding MMA 300 kwa 90,000/=
Grinder na Welding COMBO 180,000/= OFFER!!!
Tupo Mabibo NIT Dar
0674840600
Bonge moja la mashine.. Hizi ni Powerful Brushless Drills kwa 130,000/= Tu
0674840600
1. Charge uhakika.
2. Powerful sana inaweza funga screw kwenye vyuma na pia inatobolea ukuta.
3. Battery mbili 128V.
4. Bright Autolight inakuwezesha kufanya kazi mazingira ya kiza.
5. Ina nyundo kwa nyuma kugongea misumari na fischers ukutani.
6. Si nzito na haichoshi mkononi.
7. Bit 4 na 1 Screw Driver.
8. 1 Year Warranty.
Tupo Mabibo NIT Dar
0674840600
Quality Laser Level Device (4D/16 Lines) kwa ajili ya kunyoosha TILES, DECORATIONS ALIGNMENT, FENITURES and Many more things.
0674840600
Ipo complete set (150,000/=) kwenye Toolbag yake ikiwa na:
1. Laser Level Device.
2. Wall Attachment.
3. Lifting Platform.
4. Remote Control.
5. 2 Lithium Batteries with its charger.
6. User Manual.
7. Toolbag with soft sponge for confortable storage.
0674840600
150,000/= Limited Offer.
Tupo Mabibo NIT Dar
Free Delivery in Dar.
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana.
Kwanini uhangaike na Gharama za Compressor na Gun?
Jipatie hii spray gun kwa 130,000/= mpya kabisa na yenye warranty ya mwaka 1.
Sifa Zake.
1. Inatumika kupiga rangi kwenye fernitures za mbao, chuma, magari na nyumba pia.
2. Powerful sana.
3. Ina mtungi wa 1L
4. Ni heavy duty na hai overheat.
5. Inatumika kwa rangi zote za maji, mafuta na tina.
6. Ina safishika kiurahisi sana.
Tupo Mabibo NIT Dar
Call/WhatsApp 0674840600.
Karibu sana.
Jipatie Heavyduty MAKITA Brushless Hammer Drill kwa 180,000/= Fullset
0674840600
1. Inazunguka mbele na nyuma.
2. Inauwezo kwa kutindua.
3. Ina drill kawaida na nyundo pia.
4. Battery 2 zanye 4Ah very powerful.
5. Inatoboa mpaka bit ya 26mm.
6. Inakaa na Charge Muda mrefu.
7. Inakuja na Fast Charger.
8. Inakuja na Fullset ya Bit za kutindulia na kutobolea.
9. Inakuja na Warranty ya mwaka 1.
Tupo Mabibo NIT Dar
0674840600
Tupo Mabibo NIT Dar
Jipatie MAKITA Brushless Impact Wrench kwa 180,000/=
0674840600
1. Powerful kufungua Bolts na Nati za Magari, Pikipiki, Bajaji na matumizi yoote ya Garage.
2. Inakuja na vikombe vyake (sleeves) za kufungulia kuanzia 18mm mpaka 24mm.
3. 1200Nm powerful kwa magari, pikipiki na bajaji, ina rahisisha sana kazi.
4. Ina autolight kukuwezesha kufanya kazi kizani.
5. Ina funga na kufungua yaani inazungua clockwise na anticlockwise.
6. Ina Warranty ya mwaka 1.
Tupo Mabibo NIT Dar.
0674840600
Free Delivery kwa Dar
Karibuni sana.
Jipatie MAKITA Hammer Drill kwa 180,000/= Tu
1. Ina Impact function (Nyundo), Normal Drill na Tindo.
2. Ina autolight inayowaka wakati wa kazi.
3. Impact energy 3J.
4. Inakuja Fullset na Bit zake pamoja na Gauge.
5. Wire mrefu kukuwezesha kufanya kazi confortable.
6. Mpya ina warranty ya mwaka 1.
7. Ina bit namba 6,8,10,12 na 16.
8. Inakuja na Brifcase na Toolbox yake ikiwa na vifaa muhimu vya kiufundi.
Tupo Buza Tanesco
0674840600
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mabibo