ASM Network

ASM Network

Share

Learn AI, Digital Skills & Online Income
Helping beginners master AI, content creation, YouTube, Facebook Monetization, and Canva to build income online.

New tips every week

30/07/2026

πŸ“– KITABU KIPYA: Wanatazama Lakini Hawanunui

K**a una biashara ndogo unayoiendesha WhatsApp, Instagram au TikTok, na unajisikia:

❌ Unapost kila siku lakini simu haiiti kwa oda
❌ Watu wanapenda bidhaa yako lakini hawaendelei kununua
❌ Umechoka kulipia matangazo bila matokeo

Nimeandika mwongozo wa kurasa 15, wa vitendo kabisa β€” bila nadharia ndefu β€” unaokufundisha:

βœ… Kwa nini watu wanatazama lakini hawanunui (sababu 5 halisi)
βœ… Jinsi ya kujenga uaminifu bila duka la kimwili
βœ… Jinsi ya kuandika machapisho yanayosukuma mauzo
βœ… Mfumo wa kufunga mauzo bila kubembeleza
βœ… Jinsi wateja wako wanaweza kukutangazia bure

Bei: TSh 10,000 tu
malipo kwa M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money.

Tuma "NAHITAJI" kwenye DM/inbox kupata copy yako leo. πŸš€

23/07/2026
22/07/2026

20/07/2026

18/07/2026

πŸš€ TOP 10 AI Tools Kila Content Creator Anapaswa Kuwa Nazo Mwaka 2026!

Je, bado unatumia muda mwingi kuandika scripts, kuhariri video, kutengeneza thumbnails au kutafuta ideas? AI imebadilisha mchezo!

Katika post hii utagundua AI tools 10 bora zinazokusaidia:
βœ… Kutengeneza maudhui kwa haraka
βœ… Kuandika scripts zinazovutia
βœ… Kutengeneza thumbnails na graphics za kitaalamu
βœ… Kuhariri video kwa urahisi
βœ… Kutengeneza voiceovers na muziki wa AI
βœ… Kuongeza ubora wa maudhui na nafasi ya kupata mapato zaidi

πŸ”₯ Iwe unaunda maudhui kwa YouTube, Facebook, TikTok, Instagram au platform nyingine yoyote, zana hizi zitakuokoa muda na kuongeza uzalishaji wako.

πŸ’¬ Ni AI tool ipi unayotumia kwa sasa? Tuambie kwenye comments!

πŸ‘‰ Follow ASM Network kwa mafunzo ya AI, digital skills, na mbinu za kutengeneza kipato mtandaoni.

17/07/2026

21 Ai Agents you meed to succeed.
I will give you he way for free. Follow and Comment the word AI and i will send it for you.

ASM Network (ASM_Network_TZ) - Profile | Pinterest 16/07/2026

ASM Network (ASM_Network_TZ) - Profile | Pinterest ASM Network | πŸš€ Welcome to ASM Network; your hub for digital skills, Affiliate Marketer, online income ideas, and personal growth. Discover practical guides, eBooks, AI tools, business tips, and strategies to help you learn valuable skills, create digital products, and explore new ways to earn on...

Want your business to be the top-listed Media Company in Kigoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

P. O. Box 44 Kigoma
Kigoma
47100