Awetooze
classy handbags, headscarves (Mitandio), Modesty clothes including Jilbabs
﴿وَاسْتَعِينُوا بِالصَّبْرِ وَالصَّلَاةِ ۚ وَإِنَّهَا لَكَبِيرَةٌ إِلَّا عَلَى الْخَاشِعِينَ﴾
Yaani hutba ilihusu aya hii hapo juu tu...
Aisee nimejifunza kuwa Quran imebeba ujumbe mzito sana.
Naa Imamu Maa shaa Allah kajua kuitendea haki...
Nimejaribu kudonoa japo kidunchu nilichojaaliwa kukiweka kichwani
Hebu sikiliza mpaka mwisho ili tufaidike sote
Wewe umeswali wapi leo, na Khutba ilizungumzia jambo gani...
Share nasi kwenye comments
Sisi wanawake tumejaaliwa kuwa na uwezo wa kufanya ujasiri amali na tukausimamia...
Lakini kwa zama hizi za sayansi na teknolojia...
Tunahitaji kuji update...
Hasa kwenye matumizi ya social media kuanua wigo wa wateja wetu.
Sisi k**a HIJAB/MITANDIO||PINI ZA HIJAB||MODESTY WEAR + JILBABS||HANDBAGS tumepitia changamoto nyingi ambazo zilitufanya tujifunze hatua kwa hatua...
Thats why kutokana na umuhimu na faida za kufanya biashara online, tumeona tusikae na elimu hii peke yetu...
Maana sharing is caring.
Karibu ujiunge kwenye darasa hili litakalokuwa ikifanyika Online...
Kuanzia tarehe 1 August 2026.
Kwa hiyo hata k**a muda wako ni finyu sana unaweza kupata material haya kupitia simu yako
Kutokuwa na biashara sasa si kikwazo kwako kujiunga na darasa hili, kwani utajifunza mbinu za kuuza hata bila ya kuwa na duka...
Karibu DM au tucheck whatsapp 0717001667 sasa...
Ili utunze nafasi...
Kwani nafasi ni chache(10 tu)
Share na shosti ako juu ya mchongo huu wenye faida
30/07/2026
Welcome On board...
K**a unahitaji kujifunza namna tofautitofauti za kutengeneza content mtandaoni...
Ambazo pia zinahusisha posters k**a hii.
Maana content hazitumii picha pekee, kuna videos na unatakiwa kujua kuedit...
Posters n.k
Mafunzo yataanza tarehe 1 mwezi Agosti 2026, jumamosi hii
Lipia 70,000/= sasa na ukihitaji huduma ya karibu zaidi (private consultation) utaipata
Tucheck DM au whatsapp 0717001667
Najua unaye shosti ako ambaye unajua kabisa hii inamuhusu, fanya kushare naye posti hii
Hili ni moja ya eneo ambalo tutalidiscuss katika mafunzo yetu...
Yenye theme ya kupeleka biashara mtandaoni.
Ni muhimu kujua bidhaa yako inatatua changamoto gani ambayo una uhakika anaipitia.
Usikose ...
Tuche DM
Au Whatsapp 0717001667 sasa
U reserve nafasi
Kwani tutachukua watu 10 tu
Hakuna asiyetaka kuongeza mauzo yake bana...
Sasa na kwa mazingira ya sasa...
K**a hutumii mtandao...
Unapoteza nafasi ya kuongeza mauzo yako bila wewe kujua...
Njoo tujifunze pamoja, hatua kwa hatua...
Namna bora ya kuanza kutumia mtandao kuuza bidhaa zako.
Hata k**a bado huna biashara utapata mwanga wa jinsi ya kuanza biashara online bila ya kuwa na duka
Tutakuwa na mafunzo kwa wanawake wafanyabiashara yatakayofanyika mwezi wa nane kuanzia tareha 1, biidhnillah
Tucheck DM au Whatsapp 0717001667
Chukua hatua sasa, kwani aibu yako ndo umaskini wako
Private consultation pia zipo
28/07/2026
Karibu kwenye darasa letu tena kwa watu wachache tu ili kuhakikisha kila mmoja anajua kutengeneza post za kuuza mtandaoni.
Tucheck DM sasa
Whatsapp/call 0717001667
Kuweka nafasi sasa
K**a bado unasumbuka na njia bora ya kupiga picha za bidhaa zako na kuzipost mtandaoni...
Hii ni kwa ajili yako
It all started with a sketch and a dream.
When I stand on a podium to share what we’re building at Awetooze...,
I’m not just presenting a collection—
I’m sharing a vision for confidence, culture, and timeless elegance.
Today, we’re showing the world that you don’t have to choose between professional excellence and modest style.
Join us as we take the next step. 🥂✨
"
19/07/2026
Neat
Uniquely designed
170,000/=
Size 40/46
11/07/2026
Always Medine scarf has done wonders in ones appearance.
Just lo9k at the combination of this animal print outfit with the brown medine hijab...
Just amaizing
Take it from me...
In your coming appearance...
Consider brown medine scarf...
In your elegance look
HIJAB/MITANDIO||PINI ZA HIJAB||MODESTY WEAR + JILBABS||HANDBAGS...
For your unique and classic look
Medines available @25,000/=
We are located at Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai
Whatsapp/call 0717001667
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
COASTMARTSUPERMARKET