Nuru Philemon

Nuru Philemon

Share

Praise and worship

18/04/2024

AINGIZA MAITI YA MJOMBA WAKE BENKI ILI ACHUKUE MKOPO KWA JINA LAKE KIASI CHA TSH MILIONI 8.......

Polisi nchini Brazil wanamshikilia Érika de Souza Vieira kwa tuhuma za kupeleka maiti ya mjomba wake Paulo Roberto Braga (68) benki, ili achukue mkopo kwa jina lake ambao ni Dola 3,250 za Kimarekani sawa shilingi Milioni nane.

Muda mfupi baada ya Érika kuingia katika moja ya benki huko Jijini Rio de Janeiro akiwa na mwili huo wa mjomba wake alik**atwa na ameshtakiwa kwa kosa la kukiuka sheria inayolinda maiti na kujaribu kuiba na kujipatia pesa kwa njia ya ulaghai.

Picha ya video iliyopandishwa na kituo cha televisheni cha Aljazeera inamuonesha mwanamke huyo akimshikisha kalamu marehemu huyo na kumsihi aweke saini kwenye karatasi ya benki huku pia akiwa ameshikilia kichwa chake.

Maofisa wa benki walishtuka baada ya kuona mwili wa 'mteja' huyo ukiwa umepauka sana na ndipo waliposema hayupo sawa.

Polisi nchini Brazil wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kufahamu pia k**a kuna watu wengine wanaohusika.

17/04/2024

Habari Kaka Milton message ya leo asubuhi umenisema mimi kabisa inabidi kufanya maamuzi Jana jioni niliugua gafla ikabidi nimtafute mumewangu ili k**a kuna uwezekano wa kwenda hospital awai anipeleke

Lakin hakutokea imefika sanne usiku bado hakutokea ikabidi nimtafute tena akajibu "naangalia mpira" akakata simu nimeangaika mpaka sanane usiku ndio akaja alipo fika nikaanzishiwa ugomvi kunigwa, kugongezwa ukutani kosa langu kubwa likiwa nikumwambia naumwa badae akiwa bado anagomba akaropoka eti kisa wamefungwa nak**a kuna maamuzi nichukue

Kaka Milton Tunge nasema, k**a mtu uliyenaye hawezi kuacha jambo fulani kwa ajili ya dharula au uhitaji wako muhimu hafai kabisa. Wakati mwingine tunadate na wanyama (watu wasiofaa). Yafanyie tathimini mahusiano yako kisha uone una mtu au jitu. K**a hajali afya yako atakujali kwa lipi sasa la maana. Mpira muhimu kuliko afya yako. Wagalatia k**a hawa mnawapaje nafasi kwenye hisia zenu

Tukutane kwenye group la WhatsApp la MIMI NA HATMA YANGU tuongee

Tuwasiliane kwa no hii 0676151067 k**a unahitaji kuwepo kwenye magroup yangu ya WhatsApp

17/04/2024

Your favorite song from Israel Mbonyi

17/04/2024
17/04/2024

This is Israel Mbonyi the artiste from🇷🇼🔥🇷🇼🔥

17/04/2024

This song has definitely been a huge blessing to me. 40M ❤️🔥 . Thank y’all

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Iringa
Iringa
51101