NGUVU YA AFYA

NGUVU YA AFYA

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NGUVU YA AFYA, Health/Beauty, Ilula, Iringa.

25/03/2025

Leo nitatolea maelezo kuhusu tiba hii ya kitunguu maji...

Kitunguu maji kinaweza kuwa na faida kwa wagonjwa wa kisukari kutokana na uwezo wake wa kusaidia kudhibiti viwango vya sukari kwenye damu...

Kitunguu maji kina misombo k**a quercetin na sulfuri, ambayo husaidia kuongeza unyeti wa insulini na kupunguza sukari kwenye damu...

Hapa kuna njia za kutumia kitunguu maji kwa mgonjwa wa kisukari:

*1. Kitunguu Maji Kikiwa Kibichi...*

Kata vipande vidogo vya kitunguu maji....

Kula k**a kionjo kwenye saladi au peke yake mara moja au mbili kwa siku...

Kitunguu kibichi ni bora kwani misombo yake haiharibiki kwa kupikwa...

*2. Juisi ya Kitunguu Maji..*

Chambua kitunguu maji na kiblend au kimenye vizuri...

Chuja na kunywa kijiko 1-2 cha juisi hiyo kila asubuhi kabla ya kula...

Fanya hivyo mara kwa mara kwa wiki kadhaa kwa matokeo mazuri...

*3. Kitunguu Maji Kilichopikwa..*

Tumia kitunguu maji katika mlo wa kila siku, k**a sehemu ya mboga au kitoweo...

Kiepuke kuipika kupita kiasi ili kuhifadhi virutubisho vyake.

*Tahadhari:*

1. Kiasi cha Kutumia: Usitumie kitunguu maji kwa wingi sana kwani kinaweza kusababisha kiungulia au usumbufu wa tumbo...

3. Punguza Vyakula vya Sukari: Kitunguu maji kinafaa zaidi wakati kinatumika pamoja na mpango mzima wa lishe yenye afya...

Kwa ufanisi mzuri, hakikisha unafuata maelezo kuzingatia mazoezi ya mara kwa mara...

Wako
Jafari

14/02/2025

Hebu acha nikupe hii story kidogo huenda hata wewe pia ukawa unajiuliza sana hili swali....
..Kuna siku moja mtu mmoja wali wahi kuni uliza kwanini kisukari saivi kina kua na kuenea kwa kasi sana Africa na mda mwingine imekua hasa kwa vijana wadogo tu wanapata haya maradhi....
..Sasa kwa leo acha ni jibu kwa niaba ya wote humu mjifunze pia ni kwanini....
..Iko hivi kwanza kabsa nchi za Africa kwa asilimia kubwa huwa hatujali afya zetu yaani afya huwa tumeweka ni k**a kitu cha ziada kuliko vitu vyote najua huu ni ukweli amba wewe utaupiga lakini ndio ukweli....
..ndio maana ukiangalia hata kwenye familia zetu tu kwa asilimia kubwa watu hawana hata Bima za afya maana ake wengi wetu huwa tunasubiri kitokee ndo tuanze kuhangaika na changamoto....
...Badala ya kudhibiti mapema na hii pia ukiangalia hata kufanya check up tu ya mwili wake mtu unakuta kwake ni shida yupo radhi pesa yake anunulie Gari,akanywee pombe,yaan afanyie vingine lakini sio afya anaona atapoteza pesa kwenye afya....

Lakini pia naendelea kwa kusema asilimia kubwa hata ulaji wetu ni wa hovyo mno yaani ukiangalia vijana wengi wanavyo bugia pombe na hizo chips nyama choma duh....

Yaan inasikitisha lakini anaona kazi kuwekeza kununua kitu ambacho kita jali afya yake atakwambia bn hapo unachezea hela tuu hii ndo sababu magonjwa yanakua Africa...

Pia hatuli vitu kwa kiasi kwa mfano leo vijana wanakunywa pombe kumaliza na sio kwa kiasi yaan anakunywa mpaka aone kashachoka kalewa aanze kubebwa sasa hapo wewe tu uta achaje kupata kisukari, ugonjwa wa ini,Pressure, nk.
..tuna amini vyakula vya mafuta ndo vyakula vizuri leo ukimpa kijana mboga za majani atakwambia mboga gani hii huo ndo ulaji mbovu..

Lakini pia ukiangalia hii video hapa juu ndo utanielewa zaidi Sasa ona huyo mzee umri umeenda lakini anafanya mazoezi ipasavyo sisi wengi wetu tuna visingizio sana vya kujali afya zetu hata mtu akishauriw hafanyi wala hafatilii yaani k**a vile ana mkomoa mtu kumbe anaejiumiza ni yeye mwenyewe...
..Sasa basi ndugu ili afya yako iimarike hakikisha unazingatia yafuatayo...

✍️...Weka afya k**a ndo kitu chako cha kwanza kwenye maisha na sio vingine..

✍️...fanya check up ya afya yako mara kwa mara ya mwili mzima...

✍️....kula mlo mzuri usile k**a unakomesha...

✍️....Acha dhana ya kusema wewe huna uwezo wa kujali afya ingali vyakula bora tu havina gharama kuliko hvyo unavyo kula..

✍️fanyia kazi ninayokushauri...

✍️...usisubiri tatizo liwe kubwa ndo uanze kupambana nalo litakufilisi na hutapona tibu likiwa bado changa...

✍️...jali afya yako mwenyewe usisikilize wengine..

✍️fanya mazoezi ndugu usiwe mvivu acha visingizio vya kua bize huo mda unao enda kukutana na mchepuko unatosha sana kufanya mazoezi huo mda wa kuangalia mpira unatosha sana mazoezi,huo mda wa kwenda bar unatosha sana kwa mazoezi hangalau dkk30 tu.

✍️...kwa wale ambao tayari washapata kisukari tibu kongosho na Fata lishe yako hasa...

✍️...ya mwisho usiache kusali sana..
.Ukifanya hvyo basi wewe jua utazeeka vyema sana na mwenye nguvu hutazeeka kwa mateso...

Tofauti na hapo utajikuta umezeeka kwa mateso sana huna afya bora mwili hauna nguvu na umri una miaka 55 tu lakin pia vidonda kila sehem,utasumbua familia yako,utalaum sana watoto wako...

Kumbe ni wewe hukujali afya yako mapema...
..Nime maliza ni ushauri tu k**a utaona wa maana Fata k**a hautakua na umhimu acha pia watajali wengine uzuri afya ni yako mwenyewe.....pp
.Asanteni nawapenda sana muwe na afya njema...

kwa msaada zaidi piga cm 0685447322

06/02/2025

*KUBALANCE VYAKULA PEKE AKE SIO KUTIBU KISUKARI*

Naomba uelewe hii ili kesho na kesho kutwa usije kulaumu watu kuna watu wanamini kwa kubalance chakula pekee unapona kisukari
✍ ni kweli unaweza kushusha sukari kwa kubalance chakula lakin sio kutibu kisukari

✍ukizingatia vyakula kinachotokea KONGOSHO haitahitajika kufanya kazi kubwa kushusha sukari kwenye mwili tofauti na mtu ambae atakua kala chakula cha kawaida hivyo ata ukipima sukari unaweza kuikuta ipo kawaida lakin hio kawaida haimanishi kua hauna kisukari ukitaka kujua bado uko na kisukari haijalishi unabalance vyakula kwa miaka mingapi wewe chukua chakula cha kawaida kula usishangae kukuta sukari inasoma high yani ipo juu sana

✍Hapa ndio unakuta mtu anakuambia sukari yangu hainisumbui kabisa nikipima ipo 5 au 6 ila tatizo mimi ganzi ndio inanisumbua au miguu ndio inavimba au macho hayaoni vizur 🙆‍♂️ hapo shida ipo kwenye kisukari yani kwenye kipimo inasoma 5 kwa sababu ya kubalance sukari lakini kiuhalisia hio sukari haipo 5 ndio maana unateswa na madhara yake

✍hatari ya kubalance chakula bila kutibu chanzo cha kisukari ni pale ambapo sukari inapanda gafla kutoka 5 hadi kusoma high kingine sukari inakutafuna ndani kwa ndani mwisho wa siku inakusababishia madhara makubwa ikiwemo uwezekano wa kupoteza uhai

*Nasemaga hapa mara kwa mara usikae na kisukari unadhani kinaweza kutibika bila kutibu!!!!?, kisukari kinaweza kukaa kwa utulivu kwenye mwili kwa mda kwa sababu ni k**a bomu lakin mda wowote booom unaweza usipendezwe na hili lakin ukweli ni kwamba kisukari kinashika nafasi ya pili kuchukua maisha ya watu

✍Ndio maana nakupa hii K**a suluhisho la kisukari ni kutibu kongosho siri hii watu wengi hawajui ukitibu kongosho ambayo ndio chanzo kikuu cha kisukari utasahau kuhusu kila kitu kinachohusiana na kisukari namaanisha hizo..
✍Utapona ganzi na miguu kuvimba
✍Utapona presha na matatizo ya moyo
✍ Upungufu wa nguvu za kiume hutaona tena
✍Utapona matatizo ya macho
✍Utapona misuli kukaza
✍Cell zitazalishwa kwa wingi tena upya
✍uchovu wa mwili nk .......Tupigie sim kwa msaada zaidi. 0685447322

21/01/2025

*K**A WEWE UNACHANGAMOTO YA GANZI SOMA MPAKA MWISHO*
..Kwa watu wenye changamoto ya ganzi, ni muhimu kuchagua mafuta yanayoweza kusaidia kuboresha mzunguko wa damu na kutoa lishe kwa mfumo wa neva.

*Hapa kuna mafuta bora yanayoweza kuchua:*

1. *Mafuta ya Olive:*

... Yana asidi ya oleic ambayo inaweza kusaidia kudhibiti shinikizo la damu na kuboresha mzunguko wa damu.

2. **Mafuta ya N**i:**

- Yana asidi lauric na asidi ya mafuta ya mzeituni, ambayo inaweza kusaidia kuboresha afya ya moyo na kutoa nishati kwa mwili...

3. **Mafuta ya Samaki (Omega-3):**

- Yana asidi ya mafuta omega-3 ambayo inaweza kusaidia kupunguza uvimbe, kudhibiti shinikizo la damu, na kuboresha mzunguko wa damu....

4. **Mafuta ya Mbegu za Lin (Flaxseed):**

- Yanajumuisha asidi alpha-linolenic (ALA), aina ya omega-3 inayoweza kusaidia afya ya moyo na kupunguza uvimbe...

5. **Mafuta ya Avocado:**

- Yana asidi ya oleic, sawa na ile inayopatikana kwenye mafuta ya olive, na inaweza kusaidia kuboresha mzunguko wa damu...

6. **Mafuta ya Jojoba:**

- Ni mafuta yenye kufanana sana na mafuta asilia ya ngozi, yanaweza kutumika kwenye ngozi kwa massage na kusaidia kuleta afueni...

7. **Mafuta ya N**i:**

- Yana mchanganyiko wa mafuta yenye afya na yanaweza kusaidia kuboresha afya ya neva na mzunguko wa damu...

8. **Mafuta ya Almond:**

- Yanaweza kusaidia kuleta afueni kwa misuli na kutoa lishe kwa ngozi...

Ni muhimu kukumbuka kwamba mafuta haya yanafaa wakati yanachukuliwa k**a sehemu ya lishe bora na mtindo wa maisha wenye afya...

*NB:KWA HAYA MAFUTA YATAKUSAIDIA KUPATA AHUENI TU SIO TIBA KAMILI YA GANZI K**A UNA KISUKARI AU PRESSURE DHIBITI KWANZA HAYA MAGONJWA HAPO NDO UTAPONA MOJA CHANGAMOTO YA GANZI*

*0685447322
*DR. Jafari kagoma*

30/09/2024

*Magonjwa ambayo yanaweza kusababisha figo kufeli kabisa k**a usipo ya dhibiti mapema ni pamoja na:*

1. *Kisukari:*
...Kisukari ni moja ya sababu kubwa ya ugonjwa wa figo.
... Viwango vya juu vya sukari katika damu vinaweza kuharibu mishipa ya damu katika figo na kusababisha figo kufeli na kushindwa kufanya kazi.....
...Hakikisha unadhibiti kisukari mapema sana.

2. *Shinikizo la damu:*
... Shinikizo la damu lisilo na udhibiti linaweza kusababisha uharibifu kwa figo zako kwa muda mrefu...
...Ni mhimu kudhibiti shinikizo la damu mapema

3. *Magonjwa ya figo:*
... Magonjwa k**a vile ugonjwa wa polycystic kidney, nephritis, na nephropathy yanaweza kusababisha uharibifu wa figo....

4. *Magonjwa ya moyo:*
.. Matatizo ya moyo yanaweza kusababisha mzunguko mbaya wa damu na kusababisha figo kufeli....

5. *Matumizi ya dawa:*
....Baadhi ya dawa zinaweza kusababisha uharibifu kwa figo, hasa ikiwa zinatumika kwa muda mrefu au kwa kipimo kikubwa bila kufuatiliwa ipasavyo.
..Ni mhimu kupunguza unywaji wa madawa ya kila siku...

Ni muhimu kuchukua hatua za kuzuia na kudhibiti magonjwa haya ili kuzuia uharibifu wa figo na kuepuka hatari ya kufeli kwa figo.

12/09/2024

*Siri 8 za kuagana na kisukari*

📌Siri ya kwanza: Fanya mazoezi mara kwa mara...

Mazoezi huongeza insulin sensitivity hivyo chembe hai zako zitakuwa na uwezo mzuri mno wa kutumia sukari inayozalishwa mwilini...

📌Siri ya pili: Dhibiti kiwango cha ulaji wa wanga....

Mwili wako hubadili wanga kuwa sukari, hivyo endapo utadhiti ulaji wa wanga basi utadhiti uzalishwaji wa sukari mwilini....

📌Siri ya tatu: Kula vyakula vyenye asili ya nyuzi nyuzi (Fibers)....

Vyakula vya nyuzi nyuzi hurahisisha mmeng'enyo wa vyakula vya wanga na kuongeza uwezo wa mwili kuitumia sukari
.. inayozalishwa na hatimae kudhibiti sukari mwilini...

📌Siri ya nne: Kunywa maji ya kutosha...
.Fahamu kuwa kunywa maji husaidia figo kuondoa sukari isiyotakiwa mwilini...

📌Siri ya tano: Dhibiti msongo wa mawazo....
..Ni vizuri kuanzia leo ujue kuwa, msongo wa mawazo hupelekea kupandisha kiwango cha sukari mwilini, hivyo ukiweza kuondoa stress basi umeishinda sukari....

📌Siri ya sita:Pata muda wa kutosha kulala, angalau masaa 8 kwa siku....

Watu wasiopata usingizi wapo kwenye hatari ya kuongezeka uzito lakini pia huongeza kiwango cha homoni ya cortisol ambayo huchochea kisukari....

📌Siri ya saba: Kula vyakula vye madini ya magnesium na chromium kwa kiwango cha kutosha....

Unapaswa kujua kuwa madini haya hupunguza kiwango cha sukari mwilini.
Bado siri moja ya mwisho....

Kabla sijakupa siri hii je kati ya hizo saba ipi ulikuwa huifanyi vizuri au hukua unaijua?...

Niandikie kwenye comment au WhatsApp namba

+255685447322

Au bonyeza kitufe cha WhatsApp

27/08/2024

KWANINI ASALI HAIFAI KWA MGONJWA WA KISUKARI...

ni kawaida na tunafahamu kuwa ugonjwa unaotokana na kuwa na kiwango kikubwa cha sukari katika mwili

Hatua ya kwanza kwanza kupona kisukari ni kuacha vitu vyote vyenye sukari ikiwemo asali tende na matunda gote yenye sukari ikiwemo ndizi tikiti maji nanasi n.k

Licha ya vitu hivi kuwa na sukari ya asali haifai kutumika kwa mgonjwa wa kisukari

Kwa sababu sukari hatari zaidi kuliko sukari aina yoyote ile ni fructose na fructose ina patikana kwenye sukari ya madonge yani (table sugar) na pia kwenye matunda mithili ya ndizi na tikiti

Na moja ya sifa ha sukari aina ya fructose inafanyiwa digestion na ini peke yake yake na ikifanyiwa umengenywa inatengeneza msururu wa sukari ikiwemo glucose, lactose etc

Sukari hizi zinabadilishwa kuwa mafuta mwilini na na nyengine zinabaki kwenye ini sababu cell za mwili haziwezi tena kupona mafuta

Hali hii inafanya ini kuzungukwa na mafuta na hivyo hupelekea insulin resistance hivyo badala ikusaidie kupona kisukari tatizo ndio linazidi kuwa kubwa

Hivyo na shauri kwa mgonjwa wa kisukari acha kutumia asali na vitu vyote vyenye sukari na hii ndio hatua ya kwanza kuondokana na tatizo lako

Natumai umefaidika na makala hii

K**a utapenda kujifunza zaidi kuhusu vyakula bora kwa mgonjwa wa kisukari na kuondokana kabisa na changamoto ya kisukaro kwa kutumia vyakula

Nakukaribisha mwenye group letu , nitumie ujumbe whatsapp kwenda namba 0685447322 na tutakuwa wote ili uweze kuondokana na tatizo hilo.

10/08/2024

Jamii kubwa ya Waafrika ikiwemo Tanzania tuna kula chakula cha wanga zaidi ya protini ,matunda na mbogamboga.

Asubuhi chai yenye sukari na chapati, mchana ugali na usiku wali

Na hii kupelekea miili kuwa na nguvu zaidi na kwakua protini unapata kidogo basi mwili unakua haujengeki na kukosa kinga.

Ulaji huu Hufanya Mwili kua na Free Radical nyingi.

Kwa lugha rahisi free radical tunaweza kuita SUMU
Free radical mtu huzipata kwa wingi kupitia

Matumizi ya dawa za hospitali kwa muda mrefu

Matumizi ya pombe

Moshi wa sigara

Dawa za kuuwa wadudu

Uchafunzi wa mazingira

( vyanzo vya maji,ardhi na anga)

Kemikali za viwandani

Vipodozi

Miozi ( x-ray, ultra sound, MRI, CT-scan)

Vyakuna na vinywaji vya viwandani.

Kwa mtu mwenye kiwango kikubwa cha FREE RADICAL (Sumu) mwilini sumu hii huzunguka kutu za seli na kuzuia virutubisho visipenye kwa urahisiili kuleta nguvu , ujenzi na kinga ndani ya SELI pia inazuiya taka mwili kutoka ndani ya SELI .

Kwa kuwa chakula kikuu tunachokula kila siku ni wangana wanga huu mwisho wa kumeng’enywa huzaa GLUCOSE (SUKARI).

Sukari inayozalishwa ina molecula kubwa ambazo si rahisi kupenya kwenye ukuta wa SELI ulioharibiwa na FREE RADICAL (Sumu)
na hatimaye sukari iliyotengenezwa hurudi kwenye damu.

SUKARI hii inapozidi kwenye damu zaidi ya kiwango cha kawaida ,tunasema huyu mtu ana KISUKARI.
KONGOSHO: Iina kazi nyingi ndani ya mwili wa binadamu na miongoni mwa kazi zake ni kuzalisha INSULINI ya kurekebisha kiwango cha sukari mwilini .

INSULINI hulazimisha matundu ya SELI kufunguka ili sukari na taka mwili kupenya kwa urahisi. Ukiona mtu amepimwa na kugundulika ana kisukari hii inaashiria kwamba KONGOSHO limezalisha kiwango kidogo cha insulini au kutozalisha kabisa nakushindwa kurekebisha kiwango hicho cha sukari mwilini .
( INSULIN RESISTANCE)

Kitendo hichi cha mtu kugundulika ana kisukari si jambo la siku moja ,wiki
,mwezi au mwaka mmoja Huchukua takribani miaka 8 hadi 10 mtu kugundulika ana kisukari, wakati wote huo KONGOSHO, INI na FIGO husaidiana kurekebisha kiwango cha sukari mwilini. Na ogani hizi zinapochoka ndipo unapopimwa sukari inaonekana ipo juu.

Bonyeza neno WhatsApp kwa masada zaidi au piga cm 0685447322

05/08/2024

Metafom ni dawa ya kisukari ambayo inaweza kusababisha madhara kadhaa kwa baadhi ya watu.....

Madhara yanayowezekana ni pamoja na kichefuchefu, kutapika, maumivu ya tumbo, kutokuwa na hamu ya kula, na kuhara.....

Ni muhimu kuwasiliana na daktari wako ikiwa unapata madhara yoyote wakati wa kutumia metafom au dawa yoyote ya kisukari....

Gema 1 na Gema 2 ni dawa za kisukari zinazotumika kudhibiti viwango vya sukari mwilini.....

Madhara yanayowezekana ya dawa hizi ni pamoja na hypoglycemia (kiwango cha sukari mwilini kupungua sana), kichefuchefu, kutapika, kuhara, na maumivu ya tumbo....

Pia, katika baadhi ya watu, dawa hizi zinaweza kusababisha uzito kupanda au kuongezeka kwa hatari ya kuwa na hypoglycemia ikiwa hazitumiki kwa usahihi....

Ni muhimu kuzungumza na daktari wako kuhusu matumizi ya dawa hizi na kufuata maagizo yake kikamilifu ili kupunguza hatari ya madhara haya...

❌ HAKUNA NJIA YA KUZUIA HAYA MADHARA YASITOKEE ILA UNAWEZA KUPUNGUZA MADHARA YAKE TU

❎Njia ya kuondoka na hatarii ya kupata madhara kabisa ni kutibu kisukari kutoka kwenye chanzo cha tatizo lenyewe.....

🥏 Yaani unaweza kufikia mda unateseka sana sukari ipo chini lakini una umwa sana na huelew tatizo ni nini hili nilisha lisema....

🥏watu wengi mnalazimisha kushusha sukari kwa kasi ndo maana mnakunywa dawa za kila siku....

🥏ingali hakuna suluhisho kwenye kushusha sukari k**a hutatibu chanzo cha tatizo...

Hakikisha unatibu chanzo cha tatizo k**a umechoka na hayo mateso ya kisukari basi tibu chanzo cha kisukari utapona kisukari...

K**a nia yako ni kuishi na kisukari milele na kuteseka usitibu chanzo...

Dr Jafari.

Kwa msaada zaidi piga simu +255685447322 au bonyeza kitufe cha WhatsApp

13/07/2024

_HIVI UMEWAHI KUJIULIZA UTATUMIA *~DAWA ZA HOSPITALI~* HADI LINI??_

👉JE.. umewahi kuwaza k**a ukitibu sukari utakua katika hali gani⁉️....

1️⃣. Yaani hutumii tena dawa za hospitali

2️⃣.Huchagui tena chakula cha kutumia

3️⃣.Husikii tena maumivu ya mwili

4️⃣. Tatizo la kupungukiwa nguvu ya mwili haipo

5️⃣. Macho yako yanaona vizur nk...

UTAKUA HURU
SANA UKIPONA KISUKARI

bonyeza kitufe cha WhatsApp kwa msaada zaidi.

10/07/2024

*KIDONDA CHA SUKARI NA KUKATWA MGUU (NAMNA YA KUTIBU NA KUEPUKA ATHARI ZA KUKATWA MGUU)*
...Kidonda cha kisukari ni kidonda ambacho hutokea kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari. ....

Mara kwa mara vidonda hivi hutokea maeneo ya miguuni na mara chache maeneo ya mikononi na sehemu za siri....

*MADHARA YAKE;*

Vidonda hivi vinaweza kumpelekea mgonjwa kupata;-

•Majipu katika sehemu husika...

•Madonda makubwa...
•Maambukizi ya damu na homa kali(sepsis),

•Maambukizi ya bacteria kwenye mifupa,(osteomyelitis)

•Miguu kuoza na hatimaye kukatwa vidole au miguu,(Amputation)...

Kumbuka; Mguu kukatawa kunaweza kukawa chini ya goti au juu ya goti kulingana na daktari atakavyoona kiwango cha kidonda....

*SABABU YA VIDONDA*

• Kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu huchochea maambukizi ya bacteria kwenye kidonda na kuchimba kidonda....

•Kuharibika kwa mishipa midogomidogo ya damu (capillaries), kwa sababu ya kisukari hivyo mguu kukosa damu ya kutosha sehemu za chini k**a vile vidole , ( kitabibu huitwa diabetic microangiopathy)
Hasa hasa k**a una hisi ganzi miguu kuwaka moto ni moja ya dalili za kupata cancer ya kukatwa kiungo..

•Upungufu wa uwezo wa mwili kutumia hewa ya oxygeni ya damu kwa sababu ya kuzidi sukari kwenye damu (glycosylated haemoglobin/tissue)

•Kuharibika kwa mifumo ya fahamu ya mwili (nerves), kwa sababu ya kisukari....( kitabibu huitwa Diabetic neuropathy)....

•Uwepo wa mafuta mengi kwenye mishipa ya damu....

*Jinsi ya kuepuka hivi vidonda;*

•Epuka sukari kwa wasio wagonjwa...

•Kwa wagonjwa, Hakikisha unatumia dawa za kisukari kulingana na ulivyo shauriwa, kumbuka kuomba ushauri kwa daktari wako mara kwa mara....

Epuka kutumia dawa au kushusha sukari ghafla hii ni hatari sana sukari inatakiwa ishuke kwa utaratibu wake...

Kumbuka unapo endelea kutumia dawa za kushukasha sukari unaendelea kuzalisha matatizo zaidi mwilini k**a vile ganzi,matatizo ya figo na mengineyo mengi sana...

kwa msaada zaidi bonyeza kitufe cha WhatsApp hapo chini.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Ilula
Iringa