Tanzania_National_Buses
Its all about buses �
05/06/2026
•ULIZA WENYEJI 😂
Hao Wenyeji Ndioo Kina Nani Jamani
Tuambizane Mapemaa🤣
21/05/2026
●GOLD IS WEALTH 🪙
Hii Ni Dhahabu Inayotembeaaa Wakuu
•KUSINI NI MAPOLO TUU
Yaaani Wakurugenzi Wa Kusini Sasa Hivi Hawana La Kupoteza Kwa Kweli Yaani Wanataka Kuipendezesha Hii Nyanda za Juu Kusini Na Hizi Special Weapon Tupuu
Scania F360 Turbo Compound 🔥🔥🔥🔥 Ni Apo Mbeyaa Mjini Na Chunya Hadi Makongorosi
Ina Maana Hizi ESA Tayari Zipo Kwenye Chat Tayari Tuuuzie Watu Wanasumbua Huku Bhana Chunya Hamna Polo Aisee😂😂😂
Tuwahi Zetu Na Chunya Na X1200 🔥😂
19/05/2026
●ZA KIJANI ZIMEFIKA
Ogopaaa Sana Ayaa Ma New Force Ya Kijani 😂😂😂Ayaaa Bhaanaa Ni Balaaa
Na Yanakula Table Ya G1 Ayaaa Mapema Saana Pale Border Na Viunga Vyake Tukutane Uyole Sasaa🔥🔥🔥
18/05/2026
●CHUNGWA KUU
Mkurugenzi Anataka Kutuonesha Yeye Ndio Baba Wa Hizi Dragon Habahatishiiiii Kabisaaa Kwenye Kazi Yake
Tukae Tutulie Kabisaa Tukingojea Juisi Tamuuu Ya Machungwa Mkurugenzi Kutoka . Anataka Wooote Tupate Vitamini C
Tupokeee Hizo Xiamen Golden Dragon...Mwaga Moto K**a Dragon 🔥🔥🔥
09/05/2026
●KUTOKA MAKTABA
Kipindi Icho Miaka Ya 2010 Chuma Zikiwa Aljazeera Ruaha Mbuyuni Chimba Dawa
Hood Za Mbeya Dar,Kuna Hood Ya Mbeya Arusha Ndio Inatoka Pale Mbele Ishawaleta Wotee Haooo
Kuna Sumry Apo Ya Kutoka Mbeya Mjini,Kuna Abood Apo Ya Kutoka Mbeya Mjini Pia Uelekeo Dar
Na Apo Wakizubaaa Tuuu Abood Na Hood Panyabuku Za Kutoka Tunduma Zinawafumaaa Hizo Zilikuwa Masaa Ya Kufaa Mtuuu 🔥🔥🔥 Apo Ilikuwa Inapona Hood Ya Mbeya Arusha Tuuu
Ilaa Zamani Ilikuwa Raha Saaaana Aiseee 😂😂
Sasa Hivi Gari Mbona Haziendi Aiseeee
23/04/2026
18/04/2026
●NAULI MPYA
Kiwango Cha Nauli Mpyaa Kutokana Na Umbali Husika Kuanzia Ruti Za Mabasi Makubwa,Mabasi Madogo Na Teksi Mtandao
18/04/2026
●WAKORAA WAITUU
Wahaya Ndio Waasisi Wa Polo Naona Polo Zimeingiaa Wataalamu Wa Hizi Kazi
Tuwahi Bukoba Na Hizi Polo Za Choo
Marcopolo Paradiso X1200
Scania F360
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Website
Address
Iringa