Frida Ordination

Frida Ordination

Share

Insta @frida_ordination_
@tracy_trends_accessories_

13/04/2026

Jitahidi kujibu DMs za wateja wako

09/02/2026

Sio kila yogurt ni ya kawaida.
Kuna ile inayokufanya uonje halafu utake tena.

Laini, halisi na imeandaliwa kwa ubora wa hali ya juu.

๐Ÿ“ Tunapatikana Iringa mjini.
DM kupata yako.
0717731101

02/02/2026

Influencers na content creators hii inawahusu๐Ÿ‘‹๐Ÿฝ

02/02/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!

Mbogo Malata, Chury Mlyuka, Rudger Rrmlw, Israel Mwaisanga, Deniss Tarimo

29/01/2026

IS YOUR CONTENT ACTUALLY CLEAR?

28/12/2025

Watu hawakai wakikuwazia k**a unavyodhani.
Wana maisha yao.
Wewe una ndoto zako! Eti uzisimamishe kwa sababu ya mawazo ya watu? Hapana.

Acha kujipa umuhimu kupita kiasi,
anza kujipa nafasi ya kukua.

๐Ÿ‘‡ Comment NIMEACHA k**a umeamua kujichagua kuanzia sasa

27/12/2025

Usiangalie hali ilivyo sasaโ€ฆ
Angalia Mungu unayemwomba.
Maana kinachotamkiwa uhai kwa imani
Basi kinakuwa hai!

Like, comment, share kwa mtu unaempenda & save pia

24/12/2025

Mimi na wanakijiji wenzangu tunawatakia Christmas Njema!!!!

Photos from Frida Ordination's post 24/12/2025

Unataka kuanza kituโ€ฆ
lakini hujui uanze wapi?

Ukweli ni huu:
Haujakosa uwezo.
Umejaa tu mawazo mengi kuliko hatua.

Hakuna aliyeanza akiwa tayari.
Wote tulianza kwa kujaribu, kuogopa, na kujifunza njiani.

Usingoje ujasiri.
๐Ÿ‘‰ Anza, hata k**a ni kidogo

K**a hii message imekugusa ๐Ÿ’›

๐Ÿ’ฌ Niambie, ungependa kuanza nini?
Biashara? Content? Kitu kingine?

๐Ÿ“Œ Save post hii , like , comment
๐Ÿค Share kwa mtu anayehitaji kusoma hiii

Want your school to be the top-listed School/college in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Iringa

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00