Find shops in Handeni. Listings include Dullaq Kape, Badi nation, Jacline Hair Style Saloon Handeni, Six TV msata miracle thunder, Mwakyusa General Supplier Handeni, KAZI KAZI.
Saloon inatoa huduma za kupamba maharusi kusuka yebo yebo na aina zote za misuko na kushonea wiving za aina zote na pia tunauza rasta kwa jumla na rejareja
Duka linauza bidhaa mbalimbali kwa jumla na reja reja kwa bei nafuu. Baadhi ya bidhaa zilizopo dukani ni pamoja na Ngano za Azania na Azam na Mchele