Mayunga Entertainment

Mayunga Entertainment

Share

Deals With: Computers Repares, Windows Installation, Socially Network Connections, Microsoft Office Programs, Movies And Music Intertainments Supplier.

''Struggling Hard Always Becomes Good Perfomance No Matter What Times De Past U Failed''

24/05/2026

Zamani kila mchezaji akifanya vizuri analinganishwa na Chama, leo naona kila mfungaji akifunga wanafananisha na Goli la Dunia.
Swali kwani hakuna sehemu ya mifano ili kupima viwango vya wachezaji wao hadi iwe kwa Simba? 🤣😂😁💪

24/05/2026
15/05/2026

K**a Nawaona Tena Wanataka Kujaa Kwenye Mfumo 😁💪👇

14/05/2026

Alisikika Muha mmoja wa Kigoma akibwabwaja domo lake, a few moments akafanya alichozoea kufanya akiwa uwanjani 😂💪👇✍️.

23/01/2026

Alisikika Mchambuzi Mmoja Akisema Al Ahly Hawana Ubora Kwa Sasa, Hivyo Atakuwa na Presha Kubwa Kuliko Utopolonaizesheni. Ukipata Nafasi Kumwambia Jambo Utaanzia Wapi?
Viwili Vinalegeza Miguu 🤣

21/01/2026

Huyu mwamba alipendwa na mashabiki karibia 98% mchezaji hana mipaka popote kambi na haya ni maisha yake hapangiwi lini aende wapi, wala usiwafundishe watu cha kuongea wana uhuru ukiondoka lazima uitwe msaliti ukirudi unakaribishwa tena kwa upendo zaidi ya mwanzo 🤣💪✍️.

16/01/2026

Hii ndiyo maana halisi ya pisi kali, siyo unajiita super woman wakati hata kupiga deki nyumba yako huwezi 😂

13/01/2026

Ikifika swala la kumtambua MVP mnaleta habari za magoli ya penaliti, haya fungeni na nyinyi k**a rahisi 🤣💪✍️

11/01/2026

1995 - 2026=31Yrs

👇👇👇👇
Timu Yangu,
Furaha Yangu,
Maumivu Yangu,
Sitaki Ushauri.
💪✍️.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Geita?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

Nyanza
Geita