HSC
The Key of Life and the Helper of all
1 JOHN 4:4
GREATER IS HE WHO IS IN YOU THAN ANY SITUATION
Mathayo 6:15 Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.
Matthew 6:15 But if you do not forgive others, your Father will not forgive you your sins.
Zaburi 29:11 BWANA atawapa watu wake nguvu; BWANA atawabariki watu wake kwa amani.
Psalms 29:11 The Lord gives his people strength; the Lord grants his people security.
Zaburi 66:10 Kwa maana umetupima, Ee Mungu, Umetujaribu inavyojaribiwa fedha.
Psalms 66:10 For you, O God, tested us; you purified us like refined silver.
Warumi 8:5-6 Kwa maana wale waufuatao mwili huyafikiri mambo ya mwili; bali wale waifuatao roho huyafikiri mambo ya roho.
Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti; bali nia ya roho ni uzima na amani.
YAKOBO 1:19-20 Hayo mnajua, ndugu zangu wapenzi. Basi kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, bali si mwepesi wa kusema; wala kukasirika;
kwa maana hasira ya mwanadamu haiitendi haki ya Mungu.
Zaburi 37:1-5 Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya, Usiwahusudu wafanyao ubatili.
Maana k**a majani watakatika mara, K**a miche mibichi watanyauka.
Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Nawe utajifurahisha kwa BWANA, Naye atakupa haja za moyo wako.
Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya.
Zaburi 18:6 Katika shida yangu nalimwita BWANA, Na kumlalamikia Mungu wangu. Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.
Zaburi 18:2 BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.
Zaburi 16:8 Nimemweka BWANA mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the place of worship
Telephone
Website
Address
Geita
816
Opening Hours
| Monday | 17:00 - 23:00 |
| Tuesday | 17:00 - 23:00 |
| Wednesday | 17:00 - 23:00 |
| Thursday | 08:00 - 10:00 |
| Friday | 17:00 - 23:00 |
| Saturday | 10:00 - 23:00 |
| Sunday | 10:00 - 23:00 |