Prophet Richard
H.E Amb Dr.Richard is the President of J M Church of Tanzania. He operates as the Prophet and teacher of the Word of God..
25/04/2026
MSAIDIZI
Neno hili Halimaanishi mtu aliye chini au asiye na uwezo, bali ni mtu anayekuja kukamilisha kile ambacho hakipo au kuleta nguvu pale palipo na uhitaji.
Neno Msaisizi kiebrania ni Ezer.
Zab121:1-2
ni mtu mwenye nguvu anayekuja kusaidia pale ambapo mwingine peke yake hawezi.
Majukumu ya Msaidizi
Kuondoa Upweke:
Kuwa rafiki na mwenzi wa karibu.
Kushirikiana katika Maono:
Kumsaidia mume kutimiza wajibu ambao Mungu amewapa k**a familia (kuitunza bustani/dunia).
Ushauri na Hekima:
Kuleta mtazamo ambao mume anaweza asiwe nao.
Sifa za Msaidizi
Unyenyekevu:
Kukubali kusaidia bila kutafuta sifa binafsi.
Upendo:
Kufanya kazi ya usaidizi kwa moyo mweupe.
Uaminifu:
Kuwa mtu anayeweza kutegemewa wakati wa shida.
Thankyou my Ezer
Prophetes Angel Richard
25/04/2026
PICHA ZA IBADA YA JUMAPILI
SOMO : KUMILIKI MAONO
JEHOVAH MERCY CHURCH - DODOMA (JMCC)
IBADA NI SAA TATU ASUBUHI KILA JUMAPILI
PART 2:WIKI YA NEEMA YA KIUNGU.JEHOVAH MERCY CHURCH || PROPHET DR.RICHARD MAGENEGE.
UPONYAJI WA AJABU KIBINADAMU
MTU HUYU ALIKUWA NAUVIMBE KOONI HAKUWA ANAWEZA KUMEZA CHOCHOTE LAKINI ALIPOPATA USHUHUDA WA NABII RICHARD ALIAMUA KUJA KUONANA NAE NA MUNGU AKAMPONYA
TAZAMA VIDEO HII AKIOMBEWA NA VIDEO INAYOFIMUATA NI USHUHUDA WA UPONYAJI
WIKI YA NEEMA YA KIUNGU.JEHOVAH MERCY CHURCH || PROPHET DR.RICHARD MAGENEGE.
Aliyeoa Anaakili
Click here to claim your Sponsored Listing.