TMDA
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TMDA, Government Organization, Dodoma.
21/08/2026
TMDA yathamini mchango wa waandishi wa habari za kiudhibiti kwa kutoa tuzo maalum
21/08/2026
TMDA Kanda ya yashiriki maonesho ya 5 ya “Pharmatech & Health East Africa katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es salaam 19 - 21 Agosti, 2026
20/08/2026
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mh. Queen Sendiga, aipongeza TMDA wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Wahariri wa Habari kilichofanyika tarehe 20 Agosti, 2026 kwa jukumu la kulinda afya ya wananchi na hivyo kuwezesha kukua kwa uchumi na maendeleo ya taifa.
20/08/2026
TMDA yakutana na Wahariri wa Habari Kanda ya Kaskazini kujadili ushirikishaji jamii katika kupambana na bidhaa tiba za binadamu na mifugo zilizo duni, bandia na zisizosajiliwa ili kulinda afya ya Jamii
Tarehe 20 Agosti, 2026, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mh. Queen Sendiga atoa wito kwa jamii kutoa taarifa TMDA wakibaini dawa na vifaa tiba bandia ili kwa pamoja tulinde jamii.
15/08/2026
MAB yapongezwa na yaagwa rasmi baada ya kumaliza muda wake
12/08/2026
TMDA na Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa ya Denmark kushirikiana katika udhibiti wa bidhaa tiba
11/08/2026
Mkurugenzi Mkuu, Dkt. Adam Fimbo akisimamia kwa vitendo uongozi wa
kusikilia na kujadili kwa pamoja na watumishi mikakati ya udhibiti
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
1253