Aluta Polytechnical College
Chuo cha Aluta Polytechnical College kilichopo chini ya Aluta Polyclinic na Radio Maisha FM.
23/08/2022
23/08/2022
Mapangilio wa Ada zetu kwa kozi zote
Chuo cha Sayansi ya Afya na Mawasiliano Aluta Polytechnical College kinakutangazia muhula Mpya wa masomo utakao anza 3 oktoba 2022 Katika fani za Usaidizi wa maabara (Laboratory Assistant), Wahudumu wa Afya (Medical and Laboratory Attendants) na pia Fani ya Uandishi wa Habari na Utangazaji (Journalism and Media Communication). Usikubali kukaa nyumbani wakati fursa ipo ya kufikia ndoto yako kupitia Chuo cha Sayansi ya Afya na Mawasiliano Dodoma chenye garama nafuu ili kukufanya ufikie ndoto yako.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Website
Address
Dodoma