Simba Fans Club
Page Maalum Kwa Mashabiki Wa Simba Sports Club
10/06/2026
Je wewe umejiona kwenye picha la mashabiki? K**a hauko unampango gani kuja uwanjani kuwaona wanetu wa Lunyasi!
Wote ni bora ila Nani anapaswa kupiga hii free kick?
10/06/2026
Tumemiss burudani ya hawa viumbe, ligi irejee tu maana siyo kwa kusubiri huku.
04/06/2026
Soka la wanawake limekuwa SANA nchini, hizi ni Juhudi za Simba SC Tanzania kulitangaza taifa kwenye nyanja ya michezo.
04/06/2026
Kikosi bora cha mashindano. Tanzania tumetoa wanne. Huku nyota wa simba Mbegu akiongoza safu ya ulinzi.
25/05/2026
Kwenye ramani ya Africa bado tupo sana. Ila wao siwaoni😅
24/05/2026
Hatimae mchezaji wangu kipenzi Naby Camara amewekwa kwenye kikosi pili.
21/05/2026
Chama tena kawa man of the match. Hakuna namna yoyote ile ya kumnyima MVP ya NBC 2026
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam
12103