Zyco
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zyco, Non-Governmental Organization (NGO), Miembeni, Chake Chake.
In partnership with key stakeholders, we mobilize, advocate for and empower youth in health, entrepreneurship, gender justice, policy & civic action, governance, and climate resilience.
27/05/2026
Uongozi na Wafanyakazi wa Zanzibar Youth Care Organization (ZYCO) unawatakia Waislam wote Eid-AL-Adha Mubarak!
"Tusherekee kwa Amani"
30/04/2026
Je uko tayari kubadilisha maisha yako?
_
Jiunge nasi kujifunza π
π― Jinsi ya Kuanzisha biashara
π― Ubunifu wa Mawazo ya Biashara
π― Usimamizi wa Fedha
π― Fursa za kujiajiri
_Kijana Imara, Jamii Imara_
26/04/2026
Heri ya Siku ya Muungano 26, Aprilia 2026. Tunajivunia Muungano wetu Miaka 62.
"Amani, Umoja na Mshik**ano ndio Msingi wa Maendeleo ya Taifa letu"
23/04/2026
Tips 3 za Kujenga Kujiamini kwa Kijana!
π― Jikubali k**a ulivyo, wacha kujilinganisha na Wengine,
kila mtu ana safari yake.
π― Jifunze na fanya mazoezi, maarifa yanaongeza uwezo
na kujiamini.
π― Kabiliana na hofu kidogo kidogo, anza hatua ndogo,
utaimarika polepole.
_
21/04/2026
A future driven by empowered youth starts here β through partnership, advocacy, and action in health, economic empowerment,gender equality, governance, and environmental sustainability.
-
19/04/2026
We believe in a future where every young person is socially and economically empowered to reach their full potential.
Join us in making it a reality. π
07/04/2026
Taasisi ya Zanzibar Youth Care Organization (ZYCO) inaungana na Watanzania wote katika Kumbukizi ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume.
04/04/2026
Taasisi ya ZYCO kupitia Mradi wa Kujumuisha Usimamizi wa taka Unaotegemea Jamii katika Maendeleo Endelevu ya Miji Wilaya ya Chake Chake, imefanya kikao shirikishi chenye michezo ya Kuigiza kuhusu Usafi wa Maji na Mazingira.
Warsha hii ya WASH ya siku moja imekutanisha Wadau Mbalimbali kutoka Shehia ya Tibirinzi ikijumuisha Vijana, Wanawake, Walemavu na Viongozi wa Dini.
Mradi huu unatekelezwa na taasisi ya ZYCO Kwa ufadhili wa Mpango wa Kijani Pemba (EU) kupitia LVIA, We World na PIRO.
_
31/03/2026
ZYCO wakiwa katika Utekelezaji wa Mradi wa Kuwaunganisha Vijana na Wanaoishi na VVU katika Huduma za Kinga na Tiba, ambapo Huduma ya Upimaji wa VVU na Elimu ya Kinga kupitia Kliniki Tembezi imeendelea kutolewa katika Shehia ya MBUZINI, Wilaya ya Chake Chake, Kusini Pemba.
_
22/03/2026
Uongozi na Wafanyakazi wa Zanzibar Youth Care Organization unawatakia Waislam wote Eid Mubarak!
"Tusherekee kwa Amani"
_
Click here to claim your Sponsored Listing.
Address
Chake Chake
24