Tourism In The World

Tourism In The World

Share

spoti leo.......!!!!!! this page it concerned about tourism information

05/03/2019

*MTOTO: mama *nimemwomba baba hela ya*
*kusuka kaninyoa nywele..!*
*MAMA; unabahati* *mwanangu ungemwomba*
*hela ya whitedent angekung'oa meno..! Na*
*ubahili wake mimi 2 nilimuomba hela ya pedi* *akanipa mimba..!!!*
😂😂😂😂

24/05/2018

Nyumbu amekuwa ni miongoni mwa wanyama wanaovutia sana katika mbuga zetu nchini. Na hii ni kutokana na uwezo wao wa kusafiri umbali mrefu huku wakitafuta chakula....
Je, nyumbu wanapatikana kwa wingi katika mbuga gani hapa nchini Tanzania?

13/03/2018

Wanapatikana kwa wingi kwenye mbuga gani hapa Tanzania?

09/03/2018

Utalii wa ndani...

Na mwandishi wetu :YOHANES CHANG'A -Iringa

karibuni tufanye utalii wa ndani kwa kutembelea maeneo mbalimbali ambayo yana rasilimali tofauti tofauti zenye tija kwetu na kwa jamii nzima..hapa ni maeneo ya kijiji cha makongati jimbo la kalenga wilaya ya iringa (v) mkoa wa iringa. ... ambapo miongoni mwa vivutio vikubwa vinavyopatikana huku ni pamoja na Mlima SIGNAL ambao ni mrefu sana. ..pili ni uwepo wa barabara yenye mwinuko mkali kuliko hata mlima kitonga. ....ambapo Mara nyingi hata gari kubwa zimekuwa zikifeli kupandisha....

Ndani ya mlima signal utazipata PEBBLE TOOLS ikiwa ni pamoja na stone tools zenye shape tofauti tofauti kulingana na zilivyotumika hapo kale..

Ili kupata mwendelezo wa makala hii LIKE then share page hii kwa wengine ili kupata elimu hii tuliwa pamoja.

05/03/2018

Hii ni moja ya vivutio vinavyopatikna mkoani iringa. ....nini mtazamo wako,vinafaa u havifai?

04/03/2018

Karibu ndani ya page yako pendwa ihusuyo utalii na idara zake kwa ujumla.....like then share as much as you need

28/01/2018

ukistaajabu ya nabii Tito utayaona mengine mapya
Huko nchini Africa kusini kuna kanisa liitwalo GABOLA linaloongozwa na kiongozi aitwaye TSEITSI MAKITI LAWA lilisajiliwa yapata miezi miwili iliyopita .....
Kanisa hili limekuwa likiwahubiria waamini wake juu ya unywaji wa pombe
Lakini pia waamini wake wamekuwa wakibatizwa kwa pombe unachagua uipendayo ndipo unamiminiwa kichwani....
Mpaka sasa kanisa hilo limeshapata waamini wapatao 500.

**nini maoni yako juu ya imani katoliki?****

25/01/2018

Utalii wetu

24/01/2018
Photos 03/10/2017
Want your business to be the top-listed Engineering Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Sanawari
Arusha