EAT Rabbit.

EAT Rabbit.

Share

EAT Rabbit.
🥩 Nyama ya Sungura: Tamu, laini na Afya
🌱 High Protein | low cholesterol
🎈 Tunapatikana [Arusha, Tanzania]
👇 Agiza sasa : 0684333192.

06/03/2026

Mbegu bora kwa matokeo bora kwa mfugaji karibu ujipatie mbegu kubwa / hybrid wanaoweza kufika kuanzia kilo3 na kuendelea ndani ya miezi 6
Dume hilo lina miezi 4.

25/02/2026

Kwa uwepo wa mashine bora tunawahakikishia upatikanaji wa chakula cha mifugo ikiwemo sungura. Tunapokea order zozote zile karibuni wateja.

25/02/2026
24/02/2026

Chakula chetu ni bora na chenye virutubisho vya kutosha kwaajili ya ukuaji na unenepeshaji wa sungura kinapatikana EAT Rabbit.

24/02/2026

Hapa ni namna tunavyotengeneza chakula chetu cha sungura karibuni

23/02/2026

Uwekezaji unaohitaji muda na pesa karibu nikujuze zaidi kuhus sungura

21/02/2026

Imported hybrid rabbit to our farm for meat production

20/02/2026

Kuna aina nyingi za sungura kuna kwaajili ya nyama, urembo na michezo ila kizuri wote wanalika

19/02/2026

Sungura wako wanaweza kufikisha hizi kilo?
Karibu EAT Rabbit. Ujipatie mbegu bora

Want your restaurant to be the top-listed Restaurant in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Arusha