Nanui

Nanui

Share

God is Good all the Time Hivi unatambua kuwa tuko nyakati za mwisho duniani!!??? Wewe huwashangai vijana wenzako wasiokuwa na Hofu ya Mungu?

Umshangai mtoto wa k**e ambaye anakosa hofu kwa Wazazi wake? Haya yoote twayafanya bila kujua kuwa watoto wetu tutawafanyaje na tunayafanya maasi bila kujua kuwa tunamkosea Mungu! Wewe k**a wewe unafikiriaje uzao wa Tumbo au Viunoa Vyako? Hebu chukua nafasi k**a upo kitandani shuka upige magoti uombe juu ya vijana wa k**e na wa kiume,
uombe juu ya Uzao wa Tumbo na Viuno vyako
yaaani waombee wat

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

NGARAMTONI
Arusha