BSN Chicken Updates
Tunauza vifaranga vya kuku aina zote, tunauza kuku wanyama walioandaliwa na walio hai, mayai ya kisasa na mayai ya kienyeji.
Bidhaa zote kwa oda na tunakuletea ulipo kwa gharama nafuu
A chicken coop with broiler one week to be ready
Warmly welcome
Eat fresh chicken straight from the cop....
Karibu ujipatie kuku kwaajili ya kitoweo Kwa Bei nafuu kabisa....
29/11/2025
Usafi wa vyombo ni sehemu nzuri sana ya Kinga Kwa kuku kuepukana na homa za kuhara.....KUKU KWA PAMOJA
28/11/2025
Maandalizi ya godoro la kuku. Kabla ya kuingiza vifaranga vya kuku bandani hakikisha umeweka vizuri mazingira ya kuku kulelewa.... 🐥 🐥 🐥 🐥
Vifaranga vya broiler siku ya kwanza kuingia bandani wakiwa katika bruda iliyotengenezwa katika mazingira ambayo umeme bado haujafika.....KARIBUNI KWA KUJIFUNZA
04/10/2025
Kwa mahitaji ya kuku waliotengenezwa kabisa pia tunakuhudumia mteja wetu kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu....KARIBU SANA BSN CHICKEN
04/10/2025
Tunao kuku wa aina zote hawa ni Broiler mbao wako tayari kwa kuliwa ewe mteja na mtumiaji wa kuku karibu sana..... Broiler wetu wana uzito wa kuanzia 1.2 nakuendelea hadi 2.5kg ni wewe tu mteja na mahitaji yako......KARIBU BSN CHICKEN🐥🐥🐥🐥🐥
28/11/2025