Arizona Real Estate
Kampuni inahusika na uuzaji,ununuzi, usimamizi na upangishaji wa mali isiyohamishika nchini Tanzania.
Tangu kuanzishwa kwake kampuni imekuwa ikifanya vizuri na wengi wamepata makazi ya bei nafuu kupitia sisi.
16/12/2025
Its happening now, join property owners in town by posess land as your assert. We've farms and plot in Kikatiti,Maji ya chai, Njiro,Shangarai,Kikwe,Maroroni nk please Dial # 0767270189 to place a booking now
13/12/2025
Epuka uzee usio na heshima, wekeza sasa! Tupigie 0767270189
13/12/2025
unechoka kupanga? au unataka kurogwa hapo mjini? wahi mashamba sasa kuepuka hayo
tunakwenda site tena kesho piga simu sasa
Tuna mashamba na viwanja maeneo mbalix2 km Njiro,East Africa, Kisongo, Burka, Kikwe, Maji ya Chai,Kikatiti nk piga simu sasa tuende site
# 0767270189
13/12/2025
Karibu viwanja vya makazi
Tuna apartment za kupangisha kwa ajili ta makazi ndani na nje ya Arusha!
Dial # 0767270189
Mashamba na Viwanja Arusha
0746 200 317Arizona Real Estate
Tupo site, kaa mkao wa faida
12/05/2023
Biashara
Nyumba hii inauzwa ipo KIA
Umbali toka lami ni km 1
Nyumba ilikuwa lodge na inauzwa na furniture zilizopo
Bei ya nyumba ni 250M
Wahi biashara ni ya moto sana
Piga simu 0746200317
22/03/2023
Kwa niaba ya Kampuni ya Arizona real estate,Bodi ya Wakurugenzi ikiongozwa na Director Mr Humphrey inawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ramadhani Kareem
07/12/2022
Tupo kukuhudumia
06/11/2022
Kwa niaba ya Arizona Real Estate
Tunatoa pole sana kwa familia za wafiwa...Manusura wote tunawaombea wapone haraka.
Mwanga wa milele iwape eeh Bwana,wapumzike kwa amani
27/10/2022
*JAMBO LA KWANZA LA KUZINGATIA UNAPO NUNUA KIWANJA*
_*Eneo (location)*_
Hili ndio jambo la kwanza kabisa unalopaswa kuzingatia sana unapo taka kununua Ardhi ama kiwanja. Ni muhimu kujifunza tabia za eneo unalotaka kununua, fanya utafiti wa upatikanaji wa huduma mfano za elimu, afya, masoko na uwezekano wa usafiri kutoka eneo hilo kufika maeneo mengine ama ufikaji kwenye barabara kuu. Haya yata athiri sana maisha yako endapo huduma hizo zitakuwa hafifu ama hazitapatikana zitaongeza gharama ya maisha.
Karibu Arizona real estate company kwa huduma na ushauri kuhusu Viwanja vya makazi na Biashara.
Ofisi zetu
Lexo Oil Energy
Kimandolu
Cont 0746200317
27/10/2022
Kwa wateja wetu wa site siku ya jumamosi, utaratibu ni kukutana ofisini Saa nne k**a tulivyokubaliana..... K**a utahitaji kuungana nasi unaweza kubook site visit kupitia 0746200317.
Viwanja vyetu
# # # # #
20/10/2022
biashara
jengo linauzwa kijenge ya juu
bei m70
nyumba inauzwa arumeru
bei m45
kiwanja kinauzwa arumeru
ukubwa 20x60=35m
20x30=20m
duluti serena
20x30=35m
+255 746 200 317
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Arusha
2300