DaudiPages
Helping you to become published author!.
16/05/2024
Napenda mno kuwasaidia wale wanaopenda kuingia kwenye uandishi wa vitabu.
Sitakufundisha pekee, nitakupa na mentorship ya bure kabisa.
Fahamu zaidi jinsi ninavyoweza kukusaidia hapa https://daudipages.mailerpage.io/
Kwa maswali na msaada zaidi unaweza kuweka appointment ya kuzungumza na mimi kupitia link hii https://daudipages.setmore.com/
Start Here - Helping you to become a published author! A blog dedicated to helping you to become a published author. DaudiPages was created to equip you with the skills you need to succeed. Book industry is evolving every day, so my books and courses will help to keep you ahead.
24/04/2024
Mada: Makosa saba (7) ya kuepuka unapoanza kuandika kitabu
Bonus: Utapewa kitabu cha Mbinu rahisi za kuandika kitabu bure. Utapata punguzo la 30% kwenye kozi za uandishi na vitabu vyangu vingine. Utapata mentorship yangu bure
Note: Hii ni paid training. Kuhusu ada yake na mambo mengine nitayasema kwenye group ambalo nitatolea mafunzo
Kwa sasa jisajili hapa [Link one] https://rebrand.ly/zgk0jt8 au [Link two]
https://rebrand.ly/jmmso5z
Utakuwa wa kwanza kujisajili leo?
30/03/2024
Client feedback | DL hakika nashukuru sana kwa kazi nzuri. Nimefurahi sana, mnafanya kazi nzuri, kwa bei nafuu na kwa wakati....- Rev. Petro Lembalai
Read 65+ reviews here https://bit.ly/3nYBy4X
30/03/2024
Ilikuwa juzi tu kwenye group la DL Sellers. Ilianza k**a utani tu baada ya kupokea report yangu ya mauzo ya mwezi wa tatu
Niliwaambia kwenye group, nakusudia kutoa training inayohusu mambo ambayo yanamvuta msomaji anunue kitabu ili sisi k**a authors tunapofanya marketing, juhudi zetu ziweze kuzaa matunda
Baadaye niliweka poll ya kukusanya maoni tufanye lini hiyo training, wengi wakachagua weekend.
Basi sasa,
Kesho saa mbili usiku nitakuwa nafundisha MAMBO YANAYOMVUTA MSOMAJI ANUNUE KITABU.
Mafunzo haya ni bure kwa members wa DL Sellers lakini nitakumegea megea dondoo zake kwenye Channel ya DL Bookstore. Unaweza ku subscribe hapa https://whatsapp.com/channel/0029VaDYEPF9xVJbsM8WpG2P
Asante sana.
Naitwa Daudi Lubeleje
DaudiPages - Platform for writers and authors
16/03/2024
Ilikuwa ni tarehe moja ya mwezi mwaka huu, mida ya saa saba mchana nilipokea ujumbe kwenye WhatsApp yangu kutoka kwa ndugu mmoja. Ujumbe huo ulisomeka hivi;
_“Hellow mkuu habari, pole na majukumu, Nimesoma..._
Endelea kusoma kisa hiki hapa https://www.dlbookstore.com/blog/params/post/4472751/stori-yake-imenipa-funzo-sitasahau
Share na mwingine pia
-learning #
Stori yake imenipa funzo, sitasahau! Ilikuwa ni tarehe moja ya mwezi mwaka huu, mida ya saa saba mchana nilipokea ujumbe kwenye WhatsApp yangu kutoka kwa ndugu mmoja. Ujumbe huo ulisomeka hivi; “Hellow mkuu habari, pole na majukumu
15/03/2024
USHUHUDA wa Martin T
Anasema,
"Nimejifunza mengi kwenye kitabu hiki hasa aina za waandishi, taratibu za uchapaji wa kitabu, aina za uhandishi na kujua ukiandika kurasa ngapi za A4 utakuwa tayari umeandika kitabu chako hivyo namshukuru Mwandishi wa Kitabu hiki kuna vitu vingi sana ambavyo nimejifunza toka kwenye uandishi wa kitabu hiki"
Ni baada ya kusoma kitabu cha KUTOKA KUANDIKA MPAKA KUUZA KITABU
Leo nakupa kitabu hiki na wewe usome. Nenda hapa https://daudipages.mailerpage.io/books
Scroll kwa chini utakiona.
Get books - Books that will prepare you for a long career in writing, publishing and selling of your books For almost free, get any book that you would love to read.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Kuhusu DaudiPages
Jukwaa la makala za uandishi wa vitabu.