ZamuPlus Digital
ZamuYangu is a Christian platform which spread Gospel to the world through Online Magazine & Online It's all about!!
11/02/2026
50% OFF IN
▪︎ PRINTING SERVICES
▪︎ DESIGNING SERVICES
▪︎ BRANDING SERVICES
WASILIANA NASI LEO. Namba kwenye Bio'
26/06/2024
DarEsSalaam
||
Utukufu na heshima kwa Mfalme wetu Yesu! Hatimae! BWANA ametupa kibali na Neema ya kumfanyia ibada Dar Es Salaam! Ni Rasmi sasa ibada yetu itafanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Ardhi, Tarehe 23, Agosti,2024.
||
BWANA atamfunua Kristo kwa namna ya kipekee! JIPANGE kushiriki na mjulishe na rafiki yako! Ni Bure kabisa!
||
Bible Drill.
Men Vs Women
15/02/2024
Muimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Doreen Tito anatarajia kuachia kazi yake mpya aliyoipa jina "hutoniacha Bwana" ameandika kupitia ukurasa wake kuwa...
Mungu wangu ni mwaminifu sana….Namshukuru kwa kuzidi kunipa nguvu na uhai wa kuendelea kuifanya kazi yake. Nimemuona na nazidi kumuona hajawahi niacha kweli…😢 Ananivumilia sana ni Yeye ananipenda upendo usio na mwisho ni yeye ninaemkimbilia. ameandika muimbaji huyo.
PIGANIA MAISHA YAKO MWENYEWE - NABII MKUU GEORDAVIE
1 Wakorintho 15:10a
Lakini, kwa neema yake Mungu, nimekuwa k**a nilivyo, na neema yake kwangu haikuwa bure.
14/02/2024
Umekuwa mwingi!
Hivi dada uliwaza maana na Mimi nakutana naye kila mahali pia. Amekuwa mwingi na bado wingi wake hauboi. Ubarikiwe sana kwa kazi hii nzuri.
14/02/2024
This is Quaresma.
Consider your way
Hagai 1:7
14/02/2024
Happy birthday Minister
Ishi sana.
12/02/2024
Hello friend, tumtakie kheri mtumishi huyu wa Mungu kwa njia ya uimbaji katika siku yake ya kuzaliwa. Mungu akutunze na kukubariki Kwa kila hatua uipigayo.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the establishment
Telephone
Website
Address
Arusha
255
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |