Jambo.team

Jambo.team

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jambo.team, Software Company, P. O. Box 846, 7th Floor, Ingira Street, PSSSF Plaza Building Arusha, Arusha.

Photos from Jambo.team's post 19/05/2026

Watu wanatisha wenzao kwamba AI itafanya kila kitu kwenye UI/UX Design, lakini ukweli ni huu: AI haina ubunifu wa kibinadamu unaolipwa sokoni. Skills zako bado zina thamani kubwa zaidi! 💡🎨

Acha kuogopa teknolojia, itumie ikusaidie. Karibu Jambo Training upate ujuzi wa vitendo wa UI/UX Design na Python Programming.

Photos from Jambo.team's post 15/05/2026

You go to an event. You meet 20 people. You come home with a pocket full of paper.
Fast forward to Monday morning: You’re staring at a business card that just says “John - Sales” and you have zero idea which John he is or what you promised him.
That’s not networking. That’s a lottery. 🎰

We built Kumbuka to fix the “0:02 memory drop-off” in real life.

Comment i’ll send you the app link

BusinessGrowth

08/05/2026

Offer babkubwa ya Kujifunza Skills mpya zinazoendana na Ulimwengu wa Tech ya Sasa, Mafunzo ya Computer basics yatatolewa buure kwa watakaolipia kusoma Design ya UI/UX au Pythons

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi

/Ux

05/05/2026

DUNIA HAISUBIRI VYETI, INASUBIRI SKILLS. 🌍💡

Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na “Cheti cha Computer” na kuwa na “Uwezo wa Kutengeneza Solution.” Ofisi nyingi Arusha sasa hivi hazikuulizi “Umesoma wapi?” bali wanakuuliza “Unaweza kutufanyia nini?” K**a jibu lako bado ni “Najua kuandika barua kwenye Word,” basi mchongo unakupita.

Katika Jambo Team Academy, tunakuandaa kuwa mtaalamu anayetafutwa. Hatupo hapa kukupa makaratasi ya kujazia file, tuko hapa kukupa ujuzi utakaokufanya uajiriwe au ujiajiri kitalaamu ukiwa hapa hapa Chuga.

Utakachopata Kwenye Mafunzo Yetu:
🎨 UI/UX Design (Wiki 6): Hutajifunza kuchora picha tu. Utajifunza User Experience—jinsi ya kutengeneza Apps k**a Uber au Instagram zinazoeleweka na kuvutia watumiaji.
🐍 Python Development (Wiki 8): Jifunze lugha ya code inayotumika kwenye Artificial Intelligence (AI) na Data Science. Kutoka “Hello World” mpaka kutengeneza mifumo yako mwenyewe.
🎁 FREE Bonus: Tunajua mwanzo ni mgumu. Ndio maana tunatoa Computer Basics Training kwa Wiki ya kwanza BURE kabisa! Huna sababu ya kuogopa kuanza.

📍 Tuko katikati ya Jiji, Jengo la PSSSF, Ghorofa ya 7.
Mazingira ni ya kisasa, Wi-Fi ni ya uhakika, na walimu wako hapa kukuongoza hatua kwa hatua.

Nafasi ni chache sana ili kuhakikisha kila mtu anapata muda wa kutosha na mwalimu. Usisubiri mpaka kesho, maisha hayasubiri.

01/05/2026

Happy Mei-Mos (labor day)

02/03/2026

Ushatoka kwenye meeting, una feel k**a umechoma pigo la mwaka... 💼🔥 alafu unafika nyumbani unakuta kadi ya yule "Big Client" imekuwa k**a matokonyaa kwenye washing machine! 🤦🏾‍♂️💦

Did you know 88% ya business cards huishia k**a takataka?🛑

Kumbuka app inafanya kadi yako iwe hai forever. Scan, save, and grow your empire without the paper drama. Digital ni sasa, mambo ya makaratasi tuachie enzi hizo. 👴🏾📜

Fanya hivi sasa hivi:
1️⃣ Download Kumbuka 📥
2️⃣ Scan kadi zote
3️⃣ Close that deal! 🤝

🔗 Link on Bio! Wakumbushe wakukumbuke na Kumbuka! 🚀

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

P. O. Box 846, 7th Floor, Ingira Street, PSSSF Plaza Building Arusha
Arusha
23101