Update za michezo

Update za michezo

Share

Public figure

16/09/2026

Chama kasema Mkiendelea kumsumbua anawaanika Juani wananchi....Young Africans Sports Club πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›
Kumekucha....

Photos from Update za michezo's post 16/09/2026

MBONA HII PISI MNAIKALIA KIMYA LAKINI!!
CLARA LUVANGA KAJA KUSALIMIA .....πŸ’šπŸ’šπŸ’š
VIJANA CHANGAMKIEN FURSA....JIMBO LIPO WAZI HILI KABISAπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

16/09/2026

KUNA UKWELI AU NDO WANAMPAMBA MANGQOBA πŸ’šπŸ’šπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€NGQITHI
HILO JINA MSIZINGATIE UANDISHI WAKE MAANA HATA HIVYO HALIANDIKIKI πŸ’šπŸ’šπŸ’š

16/09/2026

Yupo huru kujiunga na Timu yoyote kuelekea dirisha dogo la usajili, Aliwa fanya vizuri sana akiwa na Simba SC

Alichukua goli bora la CAF akiwa na Simba SC na mashabiki wa Simba wanamkumbuka kwa mambo mengi sana hasa kwa kiwango Bora alichokionesha akiwa na u*i wa mnyama
Simba SC Tanzania HAPA VIPIβ™₯️β™₯️β™₯️β™₯️

16/09/2026

Young Africans Sports Club WATAKUWA NA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA ST GEORGE YA ETHIOPIA .
KUMBUKA KUNA MUDA WA SIKU KADHAA KUPISHA MICHUANO YA TIMU ZA TAIFA...πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’›

16/09/2026

TUNAMCHEKA DUMBIA ILA KUNA MWINGINE HAPA KAVAA KIJANI
ILA YEYE NI DUMBIA ANAYEBEBWA NA BENCHI LA UFUNDIπŸ˜€πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’›

16/09/2026

MDAU ANATOA DUKUDUKU LA MOYONI

JE YUPO SAHIHI ?

𝗛𝗔𝗧𝗨𝗝𝗔π—ͺπ—”π—›π—œ π—žπ—¨π—™π—”π—œπ——π—œπ—žπ—” 𝗑𝗔 π—žπ—’π—–π—›π—” π—ͺ𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” π—žπ—¨π—§π—œπ— π—¨π—Ÿπ—œπ—ͺ𝗔,π—ͺπ—”π—–π—›π—”π— π—•π—¨π—­π—œ π—ͺπ—”π—‘π—”π—§π—¨π——π—”π—‘π—šπ—”π—‘π—¬π—” π—žπ—œπ—Ÿπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—žπ—”
Kaka naitwa Juventus Mugisha toka Omrushaka Karagwe,naona sisi mashabiki wa Simba na Wachambu*i ambao ni machawa wetu huwa Ligi ikiisha Akili zinakufa alafu Ligi Ikianza zinaanza mpya.
Nataka shabiki yoyote mwenye akili wa Simba anambie YANGA huwa wakifukuza kocha tunafaidikaje?
Nakutajia.
1.Gamondi
2.Ramivic
3 Roman Folz
4.Pedro Goncalves
Wote hao wamefukuzwa Ukocha YANGA ligi ikiendelea na bado hatukuwaweza YANGA.
Tena msimu uliopita Huyo Pedro mechi zaimebaki chache akapewa Msomali tukatoa nae 2:2 tukiwa tumetangulia 2:0.
Sisi Simba tuboreshe kikosi chetu kipambane na Yanga lakini hii Yanga hata kocha akipewa MINZIRO hatuwawezi tatizo kuu la Yanga kwetu ni Ule uongozi wao.Tusidanganywe na Wachambu*i wanakuwa k**a wanatupa dawa za ARV lakin ukweli wanaujua kabisa.Tuwaache Yanga wadili na mambo yao Kila mwaka tunawafuatilia sana mwishowe vilio.Mimi naungana na Mzee Saidi anayesema Injinia atolewe pale hapo ndo tutapata unafuu lakin hizi porojo za Kocha HATUTOBOI"
JUVENTUS MUGISHA wa Omrushaka Karagwe

16/09/2026

Karibu tena NBC premier league Young Africans Sports Club

16/09/2026

Mapafu ya Mbwaa...

16/09/2026

HUYU MANGOBA NAONA K**A CHRISTMASS HAFIKI..
UNAEZAJE TOA JAMAA KASHIKILIA BOMBA LA TIMU UNAINGIZA SALEHE DOGO AMBAYE HATA NGORONGORO HEROES HAITWI...
BIG UP KAZIMOTO ...KILA MECHI INAONESHA UNA KITU MGUUNI NA UTULIVU

KOMARA BEKI LA VIWANGO.... ANAKABA HADI JUKWAANI

KOCHA ANAEFELI SUBSTITUTION

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Usa River
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Update za michezo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Arusha.