Bongo24/7.Com
public
12/04/2026
K**a Simba SC ni mbovu sababu ni wale mashabiki wanajifanya wafia timu. Wakati wanaendelea kwenda uwanjani wanawapa moyo viongozi kwa matokeao mabaya. Ni vizuri kuonesha kutoridhishwa Kwa kususia kwenda uwanjani ili kuwapa viongozi presha ya kuboresha timu kuwaadhibu wazembe ndani ya timu na kuwatoa wasaliti miongoni mwao.
09/04/2026
K**a Kuna Mtu Bado anafikiria Simba ni timu ya mpira basi ni punguani.
🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬
07/04/2026
Tunataka kuona hatua sikichukuliwa sio maneno tu. Sisi mashabiki hatuoni faida ya maneno zaidi ya hatua. Tunataka kuona klabu ya Simba SC ikisusia michezo zote ya ligi kuu, kupeleka malalamuko na ushahidi ya hujuma dhidi yake TFF na ikishindikana TFF CAS ipo. Tushachoka na busara na kiongozi yeyote anaepinga hili ajitoe tumchague mwingine.
Simba SC k**a hamuezi kujipambania Kwa marefa sisi mashabiki tutawapa pole na kususia mechi zenu ili msije kusema tunawapa hasara Kwa kufanya furugu Kwa waamuzi. Muda mwingine tatizo likizidi mnaacha kutumia busara ili kosa lirekebishwe. Hatuoni faida ya picha za Azam tv za marejeo. Hatuoni faida ya wazaidizi wa refarii au hata refarii mwenyewe. Sisi mashabiki tutawapa lawama zote maana mnaangalia mifuko zenu huku tukikosa furaha ya kushabikia timu hii. Hakuna tunachonufaika Kwa timu hii k**a hakuna ushindi wa makombe au ushindi kwenye mechi kubwa k**a hizi Darby. hakuna haja ya kujitahidi mwisho wa siku unadhulumiwa tena mara kibao alafu unaendelea kusema ipo siku, tutafanya hivi au hatufanya vile. K**a hamna maamuzi ya umoja kwenye club basi mtaonekana hamna maana. Hatujamuona mwenyekiti wa klabu akionesha kutopendezwa na na maamuzi hayo. Hatumuoni MO akisikitikia matendo hayo Wala hata klabu wakionesha matukio yasio mazuri ya marefa. Wanatuachia sisi mashabiki kupost na kulalamika Cha ajabu wao wanatiana moyo kwamba hamna shida, wao wanaendelea kufuga ubaya wakidhani siku Moja watajibiwa Kwa haki. Ni jazba kubwa na fedheha Kwa mashabiki, tunaitaji viongozi wa kuhoji na kutaka shuluhisho.
Simba Bado ya kinyonge mno, Bado Simba ni WA kunyanyazwa tu.
30/03/2026
Mpaka mwisho wa awamu mambo yatakua moto
Kila kitu kina mwisho wake na madhara ya kupanda mbegu mbovu ni kufunga hasara.
Waamuzi wetu wamekuwa wakipewa maelekezo na wakati mwingine wamekuwa wakitishiwa nje ya uwanja sasa wameamua kufanya hivyo ndani ya uwanja.
21/03/2026
HUYU NDIO KIBURI YA MOROCCO
FAOUZI LEKJAA yeye ni
✅️Makamu wa Rais CAF
✅️Mwenyekiti wa Fedha CAF
✅️Waziri wa Fedha Morocco 🇲🇦
✅️Mjumbe wa k**ati ya CAF
✅️Rais wa Shirikisho Morocco 🇲🇦 (BOTOLA PRO)
✅️Mjumbe wa FIFA
Aliwanyonga kimakusudi SIMBA SC sasa ni SIMBA wa Telanga (Senegal 🇸🇳)
HUYU FAOUZI LEKJAA ANATAKIWA KUACHIA NGAZI ZOTE ZA CAF
From today I will not support any of CAF division or game. It's true their corrupt and this reminded me of Simba SC match against Moroccan team RS Berkane, we all so what happened.
19/03/2026
Itakuwa maajabu taifa lolote kushiriki michuano haya. Tanzania yafaa kuwa ya kwanza kuwaunga mikono Senegal I kutoshiriki michuano haya.
01/03/2026
Hapo wale viongozi wa Simba hawatafanya lolote zaidi ya kuja kutuambia tunadhulumiwa. Simba ni timu ya kinyonge watapiga kimya.
Click here to claim your Sponsored Listing.