CLEMENT SHARI
Habari mbalimbali za michezo Kitaifa na Kimataifa na habari za kawaida hapa ndo mahala pake.
16/12/2024
SIMBA YAENDELEA KUCHELEWESHWA KUKUTANA NA NYUKI WA TABORA...
ℹ️ Bodi ya Ligi Kuu imefanya maboresho ya ratiba ya michezo miwili ya timu ya soka ya Simba SC Tanzania .
• Mchezo dhidi ya Singida Big Stars ambao awali haukupangiwa tarehe sasa utachezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida.
• Mchezo dhidi ya Tabora United ambao ulipangwa kuchezwa Disemba 28, 2024 kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umeondolewa na utapangiwa tarehe mpya.
16/12/2024
WAZIRI KABUDI AWASHUKIA SIMBA UHARIBIFU WA VITI
15/12/2024
MAN U KAIBONDA MAN CITY KWAKE...
FT MANCHESTER CITY 1-2 MANCHESTER UTD
Jioooooooooooni
15/12/2024
KUNDI LA SIMBA LINA UGUMU WAKE
15/12/2024
MZIGO WA MAMA UMETUA SALAMA MSIMBAZI...
15/12/2024
HUYU KIBU DENGA NI MOTO CHINI....
Jioooooooooooni
FT SIMBA 2-1 CS SFAXIEN
15/12/2024
SIMBA WANAINGIA NAMNA HII KUWINDA ALAMA TATU MUHIMU...
14/12/2024
HAIJAISHA HADI IMEISHA...
FT TP MAZEMBE 1-1 YANGA
14/12/2024
TIKETI BADO ZIPO ZA KUTOSHA
14/12/2024
KIKOSI CHA YANGA VS TP MAZEMBE
14/12/2024
LUBUMBASHI
14/12/2024
KLABU BINGWA AFRIKA LEO..
Click here to claim your Sponsored Listing.