Intelligence Securico Ltd
“Since our inception in 2001 we’ve grown to become the Country’s largest privately owned providers of security services.
26/05/2026
CCTV Cameras si adui, ni mlinzi wa ukweli.
Intelligence Securico Ltd,Tunacholinda leo kinaweza kuokoa kesho.✅✅
Karibu tukuhudumie
18/05/2026
Karibu Intelligence Securico Limited tukuhudumie 🤝
15/05/2026
04/05/2026
Usalama wako ni kipaumbele chetu. CCTV installation bora kwa nyumba na biashara – Intelligence Securico.
01/05/2026
Tukiendelea na zoezi letu la kusherehekea mafanikio ya wafanyakazi wetu, sasa ni wakati wa kufurahia muda wa pamoja kwa keki tamu 🎂✨
Asante sana kwa maandalizi mazuri ya chakula na keki kutoka — mmetupa ladha ya kipekee katika siku yetu ya sherehe.
Hii ni muda wa kufurahi, kushirikiana na kuendelea kujenga timu imara zaidi. 🍰🎉
07/06/2025
Tulindwe na Intelligence Securico – Usalama wako ni kipaumbele cha kwanza.
Tunaamini kwenye ulinzi wa kisasa, wa kuaminika na unaotegemewa. Ukiwa nasi, uko salama kila wakati. 🛡
01/05/2025
Wishing all dedicated workers a Happy Labour Day filled with pride and recognition! 💪 Your hard work and commitment shape a stronger, safer world. 👷♂️👮♀️
26/04/2025
On April 26, 1964, two nations Zanzibar and Tanganyika came together in a historic union that On April 26, 1964, two nations—Zanzibar and Tanganyika came together in a historic union that gave birth to Tanzania.
Tanganyika had gained independence in 1961, followed by Zanzibar in 1963. Just months later, the visionary leaders Julius Nyerere and Abeid Amani Karume agreed to unite their countries, aiming for peace, strength, and shared prosperity.
What started as two sovereign nations became one proud country—a symbol of unity in diversity.
Happy Union Day, Tanzania!
birth to Tanzania.
14/10/2024
Happy Nyerere Day!!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Arusha
14839